Abeeh πππShemejiiiiiiiiiii
Pambania kombe mwanangu, mie napiga bandika bandua, mwaka mimba mwaka mtoto.Tulizaliwa 27 kwa bakhti mbaya 4 walifarik tumebak 23
Na mim hapa ndio wa mwisho kuzaliwa ktk hiyo orodha na ndie ambaye nina watoto wachache ambao ni kumi na moja
Labda nitafikisha25
Ndugu yangu kazi anayo[emoji41][emoji41][emoji41]Abeeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee sema kweli??! Sa itakuwaje? πππNdugu yangu kazi anayo[emoji41][emoji41][emoji41]
Umeona hii Cute Wife mwaka mimba mwaka mtoto utaweza mkataba huu πPambania kombe mwanangu, mie napiga bandika bandua, mwaka mimba mwaka mtoto.
Miaka kadhaa mbele 25 watakuwa wametimia.
Unaomba kolaboUmeona hii Cute Wife mwaka mimba mwaka mtoto utaweza mkataba huu [emoji1]
Weeeee unataka kitu iendelee kuwa π sio πNimekua mpemba miyeπππ
Hata sehemu za uzazi si zitalegea jamani??
Swali limekosa jibuππNdugu zake mama, kwasababu baba hana uhakika kama ni wa kwake
Jipigie makofi ππππWeeeee unataka kitu iendelee kuwa π sio π
Kizazi umepewa ili ukitumie vyema seeWee sema kweli??! Sa itakuwaje? πππ
Hahahaaaaaa mama anamjali baba ππ€£π₯π₯π₯π₯π₯Jipigie makofi ππππ
Ebu fanya kama unaibeba mikono kichwaniππHahahaaaaaa mama anamjali baba ππ€£π₯π₯π₯π₯π₯
Kirikou kalale ntakucharaza bakola πππKizazi umepewa ili ukitumie vyema see
Muone πππHahahaaaaaa mama anamjali baba ππ€£π₯π₯π₯π₯π₯
Ndugu, mke wangu anapenda kuzaa, changamoto ni namba bora ya kuwasaidia ili waje kumudu maisha yao binafsi, wakati mwingine huwa nawaza hivi nikikatika ghafla(Mungu aepushie mbali) hali ya hawa watoto itakuwaje katika huu ulimwengu uliochanganyikiwa! Huwa nabaki kumuomba Mungu at least aniruhusu niwaone wakiwa watu wazima. I love them so much kiasi kwamba wakiwa vocation na mama yao huwa sitaki wake zaidi ya wiki, wenyewe tu huwa wanamwambia mama yao turudishe kwa baba.Una bahati una mke anapenda kuzaa! We piga mpaka wa kike apatikane...mi mwenyewe ninao wa kike wanne! Lazima nirudi
Safi sana kama umeweza kutengeneza bond na watoto...Ndugu, mke wangu anapenda kuzaa, changamoto ni namba bora ya kuwasaidia ili waje kumudu maisha yao binafsi, wakati mwingine huwa nawaza hivi nikikatika ghafla(Mungu aepushie mbali) hali ya hawa watoto itakuwaje katika huu ulimwengu uliochanganyikiwa! Huwa nabaki kumuomba Mungu at least aniruhusu niwaone wakiwa watu wazima. I love them so much kiasi kwamba wakiwa vocation na mama yao huwa sitaki wake zaidi ya wiki, wenyewe tu huwa wanamwambia mama yao turudishe kwa baba.
hahahaa naja kipenziNjoo shoga angu nakusubiri, hizo nyingine ndo muhimu sana nazitaka [emoji39][emoji39][emoji39]
Amewahi kukaba nafasi mkubalie awe shemeji yanguWacha wee!! [emoji23][emoji23][emoji23]