Umepanga kuzaa watoto wangapi?

ukweli ni kwamba ninaweza lipia watoto 30 saint za kishua,. sio changanyikeni darasa moja maelfu ya watu, kwa sasa ninao watano ngoja niwe nasafiri safiri watafika tu, kwani takwimu za sensa tunazitumiaje?
kunywe bia tutafute na watoto, yabonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…