umeota nini leo?

Slave kama umeona busara nasema asante.
namba ya simu ya kazi gani unanitafutia ugomvi na Vin Diesel siyo (utani tu)


Mamndenyi una busara na hekima kama za suleimani kweli adui muombee njaa atanyoosha mikono hata kama alikuwa shujaa. Afu samahani naomba namba yako ya simu kuna jambo nataka nikwambie.
 
Last edited by a moderator:
nimeota misiba ya watu tofauti ambao siwajui sana ila pia nawaona watu ambao nawajua wapo hai jee bepari unaeza ukageuka pweza kweli ili unifafanulie ndoto hii pia nimeshinda naimba nyimbo za msiba then nikijistukia hivi ndo naacha sina aman kabisaaaaaπŸ˜•πŸ˜•
 

beibe nasty usijali hilo ni pepo na jaribu kulikemea kwa nguvu zote! Lishindwe na lilegee katika jina la aliye juu!
 
Last edited by a moderator:

beibe nasty nenda www.dreamoods.com utapata tafsiri nzuri ya ndoto zako.Ndoto za vifo mara nyingi zinaashiria unaingia mwanzo mpya wa maisha yako.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…