Umeonaje kiwango cha Taifa Stars bila wachezaji wa Simba?

Kwenye lugha ya mpira maneno haya hutumika
Sare means matokeo sawa mfano 1-1, 2-2 kifupi ni kuwa timu zifungane kwa idadi sawa ya magoli
Then kuna suluhu yaani timu zisifungane kabisa iwe 0-0
Hicho ndo kiswahilii cha mpira
Sawa mkuu.....sisi wakenya ... kiswahili kinatusumbua
 
Kutoka sare na vibonde wa Sudani kusini tena mechi ya kirafiki tena mkiwa kwa Mkapa na penyewe kwa kutokwa kamasi ni mafanikio? Akili za utopolo anazijua Manara tu. Afrika ya Kati mlicheza na vitoto vya shule vikiongozwa mzee mmoja mkajipigia . Ebu waiteni Senegal , Cameroon , Algeria muwafunge ndipo muongee utumbo kama huu.
 
Bado tunapanda ngazi mkuu......kabla hujazeeka utaanza kushuhudia.....ENGLAND wanakuja kucheza na taifa stars
 
Back
Top Bottom