Uso wa mtu
Pua ni mwanamke
Mdomo mzizi
Ndevu majani
Mawe mawili kwenye sikio
Shina na matawi ya mti
Halafu hapo kwenye jicho lake la kushoto kuna kitu bado sijakipa jina
Hongera asee umepatia patia ila hizo red tu umekosa rekebisha hapo...!.
![]()
Du hizi kope zake za macho na hasa hiyo ya kushoto
duh nakuja sasa hivi