Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,042
- 126,057
LOLKama goti liko hivyo sijui huko 'kwediboma' kutakuwaje.. nimejaribu kuwaza kwa maandishi ila sina maana mbaya.
LOLKama goti liko hivyo sijui huko 'kwediboma' kutakuwaje.. nimejaribu kuwaza kwa maandishi ila sina maana mbaya.
Sana yaani ila pia ana moyo wake aiseee kuacha goti wazi tena jeusi kiasi hicho wala hakupaswa kujiacha wazi.Anatisha [emoji23][emoji23]
Mie hata bure sioi hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona Swahiba.
Ila Swahiba unajuaga kufukua bwana. Mdada wa watu katokelezea we unamleta huku. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaaa. Kwa nini sasa Swahiba?Mie hata bure sioi hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi ameota sijida mguuniSana yaani ila pia ana moyo wake aiseee kuacha goti wazi tena jeusi kiasi hicho wala hakupaswa kujiacha wazi.
Alitakiwa awe na aibu kidogo.
Acha tu aiseeeHadi ameota sijida mguuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi nataka tu mnitajie duka mlilonunua maana nataka kuwa murembo kama weweNleterewa Nganengo mwambie ukweli huyo mwenzio carbamazepine kuwa huo mkorogo feki ulininunulia wewe[emoji2]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Naona umeamua kunigeuzia kibao, naona dalili ya amri ya nane ya Mungu kukiukwa.
Nleterewa hivi hicho kipodozi cha miguu tulichanganya na nini kingine.....mimi nakumbuka tuliweka mkojo wa sisimizi, machozi ya samaki, ulimi wa mamba, mkia wa sokwe na juisi ya pilipili kicha. Vingine ongezea [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi nataka tu mnitajie duka mlilonunua maana nataka kuwa murembo kama wewe