Umeona nini hapa mtanzania mwenzangu?

Umeona nini hapa mtanzania mwenzangu?

Kwa hio point ya ukawa na MA CHADEMA ni kuwa Tanzania haikutakiwa kuwa na Vijiji kama huko... Umaskini unafahamika haujahisha kote afrika hata ukienda nchi kama Ethiopia yenye maendeleo lazima ukutane na nyumba kama hizo... Nyie mmeamua kuishabikia kisiasa... Mbona za kina mbowe na za kina Lowasa za huku mjini ni za ki uwizi na kifisadi lakini hamlalamiki.... Kwa taarifa yenu Watanzania maskin wenye nchi ambao wapo vijijini na wale wazalendo waliopo mijini kwa ujumla wetu tunakiamini chama makini cha mapinduzi kina uwezo wa kutuunganisha kwa kuwa Hakina ubaguzi kila mtu anaweza kushinda uongozi hata kama sio fisadi mfano mzuri John pombe magufuli na ndo anayeshika usukani na amekuja kukomboa Watanzania maskin..... Awamu ya tano hapa kazi tu lazima mkubali... Kwa mara ya kwanza mahakama ya mafisadi Itaanza nchini Tanzania na itakuwa inashughulikia kesi zote za kifisadi... Inaanza kazi July hii... Mambo mengi tunategemea kama Watanzania.... ACHENI propaganda nyepesi
 
Hilo bango hapo ni la bei ghali kuliko hilo banda hapo.
 
Back
Top Bottom