Umeona eeeh?

Umeona eeeh?

Ndo kametoka sa izi. Wamekafirigisa hadi huruma. Uso umemshuka mtoto wa kiume anaonaje aibu? Koma ukomage. Chezea watoto wa mujini. Sasa naenda zangu lunch roho kwatuuuu!
 
Tupe michapo

Kufirigisa ndio kufanywaje? Tupia na picha yake wakati kana firigiswa.

Ndo kametoka sa izi. Wamekafirigisa hadi huruma. Uso umemshuka mtoto wa kiume anaonaje aibu? Koma ukomage. Chezea watoto wa mujini. Sasa naenda zangu lunch roho kwatuuuu!
 
Nimeisoma toka mwanzo lakini sijaielewa vizuri. Anasema kuna mfanyakazi mwenzie anamsingizia kuwa ni "chakula cha bosi"? Na kwamba huyo mfanyakazi mwenzie ni mtaalam wa computer, na ametumia utaalam huo kunasa mambo ya huyu dada? Labda sasa "chakula cha bosi" ameshtaki kwa bosi mwenyewe? Na wamemjadili kwenye kikao au labda wamemwadhibu huyo mtuhumiwa (ndiyo maana ya "kufirigisa")? Napenda kujua kama niko sahihi katika uelewa wangu. Na kama niko sahihi, nina maswali.

Maswali yangu ni: Matumizi ya madaraka hapa yakoje? Nani mkosaji hapa: aliyemruhusu hawara kutumia computer ya ofisi kufanyia hayo madudu, au aliyemtaka huyo hawara kutoa "ushirikiano"?
 
nimeisoma toka mwanzo lakini sijaielewa vizuri. Anasema kuna mfanyakazi mwenzie anamsingizia kuwa ni "chakula cha bosi"? Na kwamba huyo mfanyakazi mwenzie ni mtaalam wa computer, na ametumia utaalam huo kunasa mambo ya huyu dada? Labda sasa "chakula cha bosi" ameshtaki kwa bosi mwenyewe? Na wamemjadili kwenye kikao au labda wamemwadhibu huyo mtuhumiwa (ndiyo maana ya "kufirigisa")? Napenda kujua kama niko sahihi katika uelewa wangu. Na kama niko sahihi, nina maswali.

Maswali yangu ni: Matumizi ya madaraka hapa yakoje? Nani mkosaji hapa: Aliyemruhusu hawara kutumia computer ya ofisi kufanyia hayo madudu, au aliyemtaka huyo hawara kutoa "ushirikiano"?

ngoja nikuitie Da Sophy aje akupe maelezo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom