Mtu mzima atishiwi nyau. Nipo nimejaa tele. Karibu ndani kama una maongezi na mimi unakaribishwa.
Ujio wako mbona wa verse moja..!?? wanakuja..
mbona umekuja kishari its like ......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
certificate haitafuti boyfriend,diploma haileti mchumba na degree haitunzi mume!mbona umekuja kishari its like ......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nawasubiri. Uliona juzi yule mbulula alivojilipua na mbinu ya kizamani? Halafu wana-computer wenzie wa JF wakamwokoa kwa kufuta mashambulizi. Ningeua.
degree haitunzi mume hujambo?
Bhaa..!! chacha we kitu gani kun'yima mwenzio utamu, ulichopewa bure na Mungu kunnyima ntu dhambi...Kanijia mtu na style ya kijijini. We ungefanyaje kavulana kakikutishia eti nimekuona umempa flani nipe na mimi la sivyo ntakinukisha?
Kanijia mtu na style ya kijijini. We ungefanyaje kavulana kakikutishia eti nimekuona umempa flani nipe na mimi la sivyo ntakinukisha?
Bhaa..!! chacha we kitu gani kun'yima mwenzio utamu, ulichopewa bure na Mungu kunnyima ntu dhambi...
Kanijia mtu na style ya kijijini. We ungefanyaje kavulana kakikutishia eti nimekuona umempa flani nipe na mimi la sivyo ntakinukisha?
hahahaaa......! Mpe za uso huyo!
certificate haitafuti boyfriend,diploma haileti mchumba na degree haitunzi mume!
mmh!! Da Sophy na mwenzio nsee a muro juzi mliua mbaya. nilikaa opo nikajichekea hadi balaa.
ila leo tulia tena mwambie mwenzio nsee a muro asije manake mtafungiwa uzi tena. niliwapenda ghafla
Hii hapa tena silaha yake nakuwekea usome haraka nitaifuta baada ya dakika tano manake wenzie wako humu. Watu wa computer kwa ushirikiano siwawezi, lakini akili zao kama ndo hizi basi bora kutokusoma! Soma hapa chini:
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 2nd December 2008
Posts : 872
Rep Power : 718
Likes Received20
Likes Given3
Nimekubamba![]()
Leo nimekubamba live kumbe wewe ndiwe unayechafua hali ya hewa nyumbani kwa bosi. Na nimekuona vizuri sura yako nikajiridhisha ni wewe ninayekufahamu. Jana mida ya jioni boss alipokuwa bado na kikao na watu wa TAMISEMI alikuacha hapa ofisini kwake, na nina uhakika ulikuwa unatumia hii computer yake. Mambo yako kibao nimeyasoma kuanzia kwenye facebook na blogs za ajabuajabu unazotembeleaga. Kumbe ndicho kinachokushindisha ofisini kwa bosi hata kazi zake haziendi vizuri.
Jana umeacha computer ya boss bila kuizima ikapata hitilafu kwenye screen. Leo ameniita nimrekebishie nikakuta madudu yako yote, jana huku-logout. Ukisikia za mwizi arobaini ndiyo hizi, hapa huchomoki.
Pamoja na ukweli kwamba wewe ni chakula ya bosi na wote tunajua, sidhani kama anajua maujinga yako unayotamba nayo mitandaoni tena kwa mtindo wa kumwaibisha kiasi hiki.
Nitakuanika hadharani, na nitaanzia JF kwa kuweka picha yako wakujue. Hakuna rangi utaacha kuona. Vinginevyo utoe ushirikiano wa maana la sivyo utajuta. Nakupa nafasi moja tu ya kujieleza, hapahapa kwa PM. Ukileta nyodo nakinukisha.