Umeona eeeh?

Umeona eeeh?

mwali mtanange uliokuwepo kwenye hii mada ulikuwa kabambe. yaani walimvaa mkaka wa watu utafikiri mpira wa kona.

ahahahhahahhahah wanfanya mchezo na da sophy watarara njaa
mwendhako siku hiz ni bonge la shouger ake!
 
hahahhhah!!!!!!!!!! MIE ALINIPA RAHA KWENYE ULLE UZI...........
hongera mwaya kwa kupata shoga.
 
BHAELEZEE!BHAAMBIE BHAJUE!
mi nikiwambiaga wakuache hata hawanielewi!
mi mwenywe nishakubali we taifa kubwa basi tu kina Kaunga na ubishi wao!
wananiuziga kweli mimi!
hapaner chezeiyer toto la kimatumbi weye alaah!!
huyu ndo Da Sophy bwana mwingine nukuu alaah!!
 
Last edited by a moderator:
wanachezea kiburudisho cha boss....kwa hiyo kibarua chao kipo mashakani au? wewe ni noma nomaro????
Hii hapa tena silaha yake nakuwekea usome haraka nitaifuta baada ya dakika tano manake wenzie wako humu. Watu wa computer kwa ushirikiano siwawezi, lakini akili zao kama ndo hizi basi bora kutokusoma! Soma hapa chini:
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 2nd December 2008
Posts : 872
Rep Power : 718
Likes Received20
Likes Given3

icon1.png
Nimekubamba

Leo nimekubamba live kumbe wewe ndiwe unayechafua hali ya hewa nyumbani kwa bosi. Na nimekuona vizuri sura yako nikajiridhisha ni wewe ninayekufahamu. Jana mida ya jioni boss alipokuwa bado na kikao na watu wa TAMISEMI alikuacha hapa ofisini kwake, na nina uhakika ulikuwa unatumia hii computer yake. Mambo yako kibao nimeyasoma kuanzia kwenye facebook na blogs za ajabuajabu unazotembeleaga. Kumbe ndicho kinachokushindisha ofisini kwa bosi hata kazi zake haziendi vizuri.
Jana umeacha computer ya boss bila kuizima ikapata hitilafu kwenye screen. Leo ameniita nimrekebishie nikakuta madudu yako yote, jana huku-logout. Ukisikia za mwizi arobaini ndiyo hizi, hapa huchomoki.
Pamoja na ukweli kwamba wewe ni chakula ya bosi na wote tunajua, sidhani kama anajua maujinga yako unayotamba nayo mitandaoni tena kwa mtindo wa kumwaibisha kiasi hiki.

Nitakuanika hadharani, na nitaanzia JF kwa kuweka picha yako wakujue. Hakuna rangi utaacha kuona. Vinginevyo utoe ushirikiano wa maana la sivyo utajuta. Nakupa nafasi moja tu ya kujieleza, hapahapa kwa PM. Ukileta nyodo nakinukisha.
 
mbona natamani kumjua....

maana navyosisitiza kuupata huo ushirikiano LOL

#teamumbea #
 
Dah! uzi kama huu ninachofanya ni ku-aapreciate our differences tu.
 
Hii hapa tena silaha yake nakuwekea usome haraka nitaifuta baada ya dakika tano manake wenzie wako humu. Watu wa computer kwa ushirikiano siwawezi, lakini akili zao kama ndo hizi basi bora kutokusoma! Soma hapa chini:
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 2nd December 2008
Posts : 872
Rep Power : 718
Likes Received20
Likes Given3

icon1.png
Nimekubamba

Leo nimekubamba live kumbe wewe ndiwe unayechafua hali ya hewa nyumbani kwa bosi. Na nimekuona vizuri sura yako nikajiridhisha ni wewe ninayekufahamu. Jana mida ya jioni boss alipokuwa bado na kikao na watu wa TAMISEMI alikuacha hapa ofisini kwake, na nina uhakika ulikuwa unatumia hii computer yake. Mambo yako kibao nimeyasoma kuanzia kwenye facebook na blogs za ajabuajabu unazotembeleaga. Kumbe ndicho kinachokushindisha ofisini kwa bosi hata kazi zake haziendi vizuri.
Jana umeacha computer ya boss bila kuizima ikapata hitilafu kwenye screen. Leo ameniita nimrekebishie nikakuta madudu yako yote, jana huku-logout. Ukisikia za mwizi arobaini ndiyo hizi, hapa huchomoki.
Pamoja na ukweli kwamba wewe ni chakula ya bosi na wote tunajua, sidhani kama anajua maujinga yako unayotamba nayo mitandaoni tena kwa mtindo wa kumwaibisha kiasi hiki.

Nitakuanika hadharani, na nitaanzia JF kwa kuweka picha yako wakujue. Hakuna rangi utaacha kuona. Vinginevyo utoe ushirikiano wa maana la sivyo utajuta. Nakupa nafasi moja tu ya kujieleza, hapahapa kwa PM. Ukileta nyodo nakinukisha.
We pima maji na unga, kama akikinukisha itakuathiri, basi mpe mzigo yaishe si kila mfanyo una faida papo kwa papo. Ila kama un aona kumvimbia haikuathiri... we vimba mpaka akome
 
hakufikiria mara mbili..duuh
Hii hapa tena silaha yake nakuwekea usome haraka nitaifuta baada ya dakika tano manake wenzie wako humu. Watu wa computer kwa ushirikiano siwawezi, lakini akili zao kama ndo hizi basi bora kutokusoma! Soma hapa chini:
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 2nd December 2008
Posts : 872
Rep Power : 718
Likes Received20
Likes Given3

icon1.png
Nimekubamba

Leo nimekubamba live kumbe wewe ndiwe unayechafua hali ya hewa nyumbani kwa bosi. Na nimekuona vizuri sura yako nikajiridhisha ni wewe ninayekufahamu. Jana mida ya jioni boss alipokuwa bado na kikao na watu wa TAMISEMI alikuacha hapa ofisini kwake, na nina uhakika ulikuwa unatumia hii computer yake. Mambo yako kibao nimeyasoma kuanzia kwenye facebook na blogs za ajabuajabu unazotembeleaga. Kumbe ndicho kinachokushindisha ofisini kwa bosi hata kazi zake haziendi vizuri.
Jana umeacha computer ya boss bila kuizima ikapata hitilafu kwenye screen. Leo ameniita nimrekebishie nikakuta madudu yako yote, jana huku-logout. Ukisikia za mwizi arobaini ndiyo hizi, hapa huchomoki.
Pamoja na ukweli kwamba wewe ni chakula ya bosi na wote tunajua, sidhani kama anajua maujinga yako unayotamba nayo mitandaoni tena kwa mtindo wa kumwaibisha kiasi hiki.

Nitakuanika hadharani, na nitaanzia JF kwa kuweka picha yako wakujue. Hakuna rangi utaacha kuona. Vinginevyo utoe ushirikiano wa maana la sivyo utajuta. Nakupa nafasi moja tu ya kujieleza, hapahapa kwa PM. Ukileta nyodo nakinukisha.
 
mh ama kweli, either ajira hamna nchi hii ama tulio kwenye ajira hatuna kazi maofisini wallah!

napita tu wajameni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom