Umeoa wake watatu bado unachepuka


anatafuta wa nne cha ajab nn?
 
Mfalme Mswat mwenyewe anachepuka. Uhuni au tamaa za mtu hazipunguzwi na idadi kubwa ya wanawake, hii ni mtu mwenyewe
 
Dawa yake akirudi, mnaenda wote atakapokua, mnaweka kambi iwe foursome...... Hadi akojoe upepo
 
Unaposema wanawake..maana yake ni kuanzia wawili,kwo hata wakiwa kumi ni wanawake kwo kuna kuwa na wake 3 na mchepuko mmoja...unapata wanawake 4,ila wote ni wanawake...unawaweza 3 umshindwe m1? (Najua huezi kuelewa namaanisha nn..Hata mm sielewi nimeandika nini)
 
Mkuu hapa unagusa IMANI za watu, kuna ambao DINI inaruhusu. Hayo mengine ni matwaka binafsi na huyo mwenye kifua na muda wa kuzunguka nyumba nne. Yataka moyo nayo...

Hakuna dini hata moja kati ya hizi kubwa zinazojulikana ambazo zinaruhusu MCHEPUKO. Wacha kupotosha watu.
 

JITAHIDI UWEKE PICHA MKUU.
 
Wanaume ndo walivyoumbwa,hata akiwa Na wake 8 lakin bado atachepuka,sijui wana laana Hawa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…