Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,907
Nafikiri huyo bwana hapo juu amezungumzia suala la Mwanamke kuolewa kama mke wa pili ama wa tatu anakubalije?...ndio jamaa akasema hapo anagusa dini za watu (Kwani wengine dini zao zinaruhusu hilo bila tatizo lolote)Hakuna dini wala imani inayoruhusu kuchepuka. Huyo ni mzinzi tu.
Teh teh teh teh Hilo ni jipu suguHahaa tamaa tu
Wanawake hamjithamini kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji4] [emoji115]Jamaa ana roho nzuri sana anajua uhaba wa wanaume na wingi wa wanawake na ameamua kupambana na ukata huo...
Labda huyo mwingine naye yupo kwenye mchakato wa kuongezwa, who knows?Alichepuka walichunguza na wakajua alipo lala kwa mwanamke mwingine
Zipo nyingi wapi? Labda kwa wanunuaji, waoaji ziko chache sana.kabisaaaa yani watu mnapanga foleni kisa dushe wkt zipo nyingi tu.
kwahiyo we unapenda muhogo?Duu asara,sasa ukute huyo jamaa mzinzi alafu anakimbamia na mbaya zaidi hata hichi kibamia kukitumia hajui basi aibu tupu
kujifedhehesha tuu kwa pesa yako mwenyewe..
hiyo ni riheso ya kuchukua mke wa nne,kama alivyokuchukua wewe kuwa wa pili si mlianza hivyohivyo?Imekaaje hii mtu ameoa wake watatu lakin bado analala kwa mchepuko huku akijua kuwa wake zake hawatafahamu kwasababu mwenye zamu atadhan labda amelala kwa mke mwingine na cku iliyo fuata akaenda kuwauliza wenzie kila mmoja akashangaa kuwa mume wao hakulala kwa nyumba zake bali amechepuka hii ni hatar
Sina maana hiyooooo..kwahiyo we unapenda muhogo?
Nataka niongelee hiyo signature uliyoweka..kifupi sina shida na maneno ya Dr. Rajab,ila ninashangazwa kidogo na comment uliyoweka mbele ya maneno ya Dr. Rajabu..Kifupi yale maneno aliyoyatoa Dr. Rajab aliyatoa kwaajili ya kumdhihaki magufuli. Ndo maana akatumia maneno ambayo sisi wakatoliki tunayatumia wakati wa kutubu kwa mungu,yeye akayatumia kwa kumwambia magufuli..Alikuwa anamdhihaki magufuli kuwa anajifanya ni mungu.Kwa comment uliyoweka mbele ya maneneo ya Dr. Rajab inaonyesha kuwa hukumuelewa,lakini pia umeonyesha ufahamu wako kwa lugha za kifasihi ni mdogo sana! Hii ni angalizo kwako kwa siku za mbele kurukia maneno ya wasomi na kuyatafsiri unavyojua na kuongeza comment zako ambazo zipo irrelevant na tamko halisi.Naomba ufiche ujinga wako ndugu yangu na uache kujichoresha kwa wana fasihi...ni hayo tu.Hata kuwa na wake watatu nayo ni hatari..