Huyo kwenye avatar ni wewe?Hahaa kabisa ni hatar juu ya hatar
Mnaachiana zamu mume mmoja? umetumia akili zako zote ukakosa wa kwako peke yako? Seriously?Kwasababu gani?
Dini/Imani inaruhusu.Mnaachiana zamu mume mmoja? umetumia akili zako zote ukakosa wa kwako peke yako? Seriously?
Kumbe na weye hupendi vibamia? Ukuje basi pande hizi za hogoz?Duu asara,sasa ukute huyo jamaa mzinzi alafu anakimbamia na mbaya zaidi hata hichi kibamia kukitumia hajui basi aibu tupu
kujifedhehesha tuu kwa pesa yako mwenyewe..
ahahahah APANA mkuu nimesema tuu mbona nimeridhika na niliekua nae Alhamdulillah mwenyezi mungu aniweke,sijaona na staki kuona mwengine zaidi yake...Kumbe na weye hupendi vibamia? Ukuje basi pande hizi za hogoz?
Mkuu hapa unagusa IMANI za watu, kuna ambao DINI inaruhusu. Hayo mengine ni matwaka binafsi na huyo mwenye kifua na muda wa kuzunguka nyumba nne. Yataka moyo nayo...Mnaachiana zamu mume mmoja? umetumia akili zako zote ukakosa wa kwako peke yako? Seriously?
Hakuna dini wala imani inayoruhusu kuchepuka. Huyo ni mzinzi tu.Mkuu hapa unagusa IMANI za watu, kuna ambao DINI inaruhusu. Hayo mengine ni matwaka binafsi na huyo mwenye kifua na muda wa kuzunguka nyumba nne. Yataka moyo nayo...
Mkuu kwani kutolala nyumbani ni lazima mtu awe amechepuka?Imekaaje hii mtu ameoa wake watatu lakin bado analala kwa mchepuko huku akijua kuwa wake zake hawatafahamu kwasababu mwenye zamu atadhan labda amelala kwa mke mwingine na cku iliyo fuata akaenda kuwauliza wenzie kila mmoja akashangaa kuwa mume wao hakulala kwa nyumba zake bali amechepuka hii ni hatar
Duuuh hapo sasa hatari labda alitaka apate show mpya......wajiandae kuletewa mke wa nneAlichepuka walichunguza na wakajua alipo lala kwa mwanamke mwingine