Umeoa Msukuma?

hivyo charity alivyosema mnavirevesi......kama kufua locks............

Kufua kufuli ya mpenzio is one of the most romantic thing ever............!!!! 🙂 Watu hawajui tu!
Au nalo hilo linahitaji kufunguliwa shule/tuisheni?
 
Jamani hizo sifa kweli nasikia wanazo kwaiyo mnataka hata sie watu wa UJIJI mwisho wa Reli twende usukumani kuoa???
 
Kufua kufuli ya mpenzio is one of the most romantic thing ever............!!!! 🙂 Watu hawajui tu!
Au nalo hilo linahitaji kufunguliwa shule/tuisheni?

Unaonekana kaCV kazuri sana kwenye engo hizi.

Ni kweli! 🙂 I am old enough to have had several experiences! 🙂

naomaba umsaidie na Fidel kauzoefu kako bila kumsahu papaushka wa Charity who is my big bro!!!
these guys are pigheaded!!!!!!!!!!
 
naomaba umsaidie na Fidel kauzoefu kako bila kumsahu papaushka wa Charity who is my big bro!!!
these guys are pigheaded!!!!!!!!!!

I am not sure if it is easy to teach an old dog new tricks! 🙂 Not so sure!!!
 
I am not sure if it is easy to teach an old dog new tricks! 🙂 Not so sure!!!

suprising enough these old dogs are ready to learn new tricks amabazo wanajua wenyewe zina maslahi 'binafsi zaidi' kwao despite the fact that ni mbaya hata kwenye macho ya Mungu...(dont ask coz i wont answer)

ila kujifunza jambo kama hilo its just too new a trick for an old dog!!! haya bwana!!
 

I won't ask, but I know you have pulled the trigger my dear....wait and see wakitoka huko waliko! ........ 🙂
 
sasa shem hao ni wa huko sweeden au wapi tena???? sijakusoma
Ndiyo shemeji, hao ni mabinti wa Sweden yaani Sverige.

Hilo hapo kwenye red nalo ni kabila ndani ya Tanzania? Liko mkoa gani? Ndio nalisikia leo!

Ndiyo Mkuu, wapo pale Nkinga Mission Nzega. Ndiyo waliomwaga hadi vifaa vya kwaya ya Nkinga. Pale wapo wengi tu na vitoto vyao hadi vinaongea Kinyamwezi.

Hapa chini ni mmoja ambaye anaishi Sikonge kwa sasa na hapa alikuwa sehemu inaitwa Madukani, ambapo kuna soko na mizambarau kibao.
 

Duh! Sasa hao sio Watanzania mkuu! Hao ni Wa Sweden! Hapa tunajadili makabila ya Watanzania!
 
nimekusoma shem
duh!!!
 
Mbona mnaongelea wanawake tu what about MIDUME ya kisukuma?au inaeleweka ni king of malavidavi?
 
Duh! Sasa hao sio Watanzania mkuu! Hao ni Wa Sweden! Hapa tunajadili makabila ya Watanzania!

Mkuu,

Ndiyo maana USA kuna African-American. Nchi inakua na mambo yanabadilika.

Tanzania siku za mbeleni itabidi tuweke kabila la Waarabu, Wahindi, Waswidi, Wasomali, nk.

South Africa bendera yao ina rangi NYEUPE. Sasa Mke wa Prof. Sarungu si Mtanzania yule? Utamuweka kabila gani? Na hawa akina dada kama wanaongea Kinyamwezi/Kisukuma utawaweka kabila gani? Au ndiyo ubaguzi?
 


Luv lakini hawatufikii...hilo la mchezo kuendelea mi ndo nasema inategemea ntu na ntu luv wangu

by the way leo ujumaa tunaanzia wapi?🙄
 

Sawa mkubwa! Nimekuelewa!
 
Dah nimekubali.Yani huyu ni mswidi-mtanzania halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…