Umenipendea nini?

Duh, babu kweli unao wengi, yaani ulishasahau hata ukaguzi ulionifanya lol!

Hahahahahahahaaa

Siku zote mi nlikuwa najua wewe ni bikira. lahaula lakwata.
 

yeah bado ipo hapo she loved before she may love again if she loves you now what else matters
 
yeye hana maswali ila sasa nashindwa kuelewa kwa nini hana maswali? ila napenda sana.......... mkuuu mbona unataka nimwage mchele kwenye kuku wengi loh sisemi tena siri yangu mengine okey
Haya mkuu, hongera sana..
 
wazazi wako bado wapo? wana hali gani?
una ndugu wangapi? wameoa/wameolewa/nani anawasomesha? Unajua sipendi kabisa ubebe mizigo?
mshahara wako sh ngapi?
una kitu gani na kitu gani?
kwa mwanaume unapenda nini?
tangu umemaliza masomo nini mafanikio yako?
una mpango wa kuolewa?

Duh! haya niliulizwa yote kwa siku moja, moja baada ya lingine. Mengine nimeyasahau. Hamu iliisha siku ile ile sikumfikiria teeena. Nakubali hayo maswali ni muhimu maana kila mtu ana vigezo vyake vya kutafuta mchumba lakini si utumie akili ya ziada kumchunguza mtu? Kha!
 
Niliwahi kuwa na mpenzi wangu mmoja miaka hiyo ya ujana, lol!
Hakika alikwa ananiudhi na swali lake umekojoa! kila mkikutana kwenye gemu lazima tukiwa kaktikati mambo ndo yamenoga, ana stop, umeshakojoa! agrrrriiiiii! hakuna swali silipendi kama hili
hahahhahaha daaaah kweli mapenzi yanawatu..ulikuwa unamjibu nini?hahhaha
 
Nami huwa nauliza uliza dikembe

Japo mie sipendi kuulizwa kwakweli, eti swali kwanini umeachana na mwanaume uliyekuwa nae.. lol! Nikishakuambia iweje au mimi ni mwanaume wako wa ngapi, hivi ukitokea ukapata mimba utaitoa? maswali gani sasa haya
Hao watu uliokuwa unakutana nao kiboko doooo!!
 
Maswali mengi yanachosha sana...haya ya siku hizi baada ya kukua kwa technology utaskia, ntumie picha yako basi(whats app)...hahaha..najua nawagusa wengi
Hahhahahhaha eeeeeeh uwiiiiii mambo ya whatsap....ndo mana ni natumia tochi sitaki kabisa kashda hizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…