Umenipendea nini?

Niliwahi kuwa na mpenzi wangu mmoja miaka hiyo ya ujana, lol!
Hakika alikwa ananiudhi na swali lake umekojoa! kila mkikutana kwenye gemu lazima tukiwa kaktikati mambo ndo yamenoga, ana stop, umeshakojoa! agrrrriiiiii! hakuna swali silipendi kama hili
 
Baby mambo yako yatakamilika lini twende nyumbani??!!!, hv hny hutabadilisha mawazo kweli???
 
Najua mu wazima,

Umenipendea nini?
kwa sababu haunisumbui kwenye mgegedo, huombi hela, hukagui simu yangu, ukinifumania unapeleleza kwanza kama kweli tulikua tunafanya au tunafanya kimauongo, kwe kweli we zaidi ya wote!
 
Nami huwa nauliza uliza dikembe

Japo mie sipendi kuulizwa kwakweli, eti swali kwanini umeachana na mwanaume uliyekuwa nae.. lol! Nikishakuambia iweje au mimi ni mwanaume wako wa ngapi, hivi ukitokea ukapata mimba utaitoa? maswali gani sasa haya

Wew huchukizwi na maswali? hebu weka yako nasisi tucheke? au ndio yale umevaa nini? hahahaha
 
Last edited by a moderator:

my number will always be less
 
juyo rafiki yangu nnaekwambia yuko kwenye 30's
 
Hahahahahahahaaa

Siku zote mi nlikuwa najua wewe ni bikira. lahaula lakwata.
 
Mh !asa mnapenda kuulizwa maswali gani kwa mfano.
 
Mi ndo maana siwezi kumiliki simu isiyokuwa na option ya kumblock mtu. Baaas.
 
i hate this question with all ma heart yani huwa nashindwa jieleza ... nikikwama nasema napenda pesa zako, napenda tembea yako napenda macho yako ila napenda kukuona zaidi ukitafuta pesa
 
Niliwahi kuwa na mpenzi wangu mmoja miaka hiyo ya ujana, lol!
Hakika alikwa ananiudhi na swali lake umekojoa! kila mkikutana kwenye gemu lazima tukiwa kaktikati mambo ndo yamenoga, ana stop, umeshakojoa! agrrrriiiiii! hakuna swali silipendi kama hili

sasa si bora huyo mwingine kila saa anakuuliza "unasikiaje"
 
Nami huwa nauliza uliza dikembe

Japo mie sipendi kuulizwa kwakweli, eti swali kwanini umeachana na mwanaume uliyekuwa nae.. lol! Nikishakuambia iweje au mimi ni mwanaume wako wa ngapi, hivi ukitokea ukapata mimba utaitoa? maswali gani sasa haya
Maswali mengi yanachosha sana...haya ya siku hizi baada ya kukua kwa technology utaskia, ntumie picha yako basi(whats app)...hahaha..najua nawagusa wengi
 
Bby mbona uko bizy? bby mbona haujibu sms zangu? bby mbona haupokei simu, uko na nan?
hapa huwa nachukia sana.......afu unakuta missed call 78, sms 10......dah. Najiuliza nimekosea kutokujua medical history yake kwanza.

its real real bad kwa kweli
 
Maswali mengi yanachosha sana...haya ya siku hizi baada ya kukua kwa technology utaskia, ntumie picha yako basi(whats app)...hahaha..najua nawagusa wengi

oooooh sasa hapo si sawa inabidi umtumie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…