Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,039
- 2,190
Pole...mlikuwa pa1 muda gani?
Miaka miwil
Miaka miwil
you need a sex therapy.....find someone else just for sex...you will be fine
tena atasahau kila kitu..
michache sana yaani ndo mnaanza kumbe..
Michache bt before tulikua na mahusiano ya kirafiki tu so jumla ni kama 4 kubwa zaidi hom kwao napajua nyumbani kwetu kafika mpaka na wazee wake walishafika mpaka na mahari nusu ilitoka kilichotokea sasa!!!! Ctaki kuendelea
Lin mmekosana?
Tuna miez 3
W Umenikumbusha machungu jamani mapenzi yanauma asikwambie mtu hasa ukitendwa na mtu usiemtarajia