Umenifanyia kitu gani mpaka sasa?

Umenifanyia kitu gani mpaka sasa?

mwaibile

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2022
Posts
1,326
Reaction score
3,190
Natumaini mko good maisha yanasonga,iv kwann wadada na wanawake wanapenda kuuliza ili swali "umenifanyia kitu gani mpaka sasa" kuna msichana nipo nae, kwenye mahusiano sasa tuna mwezi jana tumepishana kauli akaanza kuuliza ili swali ikabidi nimwambie kwaiyo upo na mimi ndo kuna lengo unataka kutimiza mpaka unahoji swali ili naombeni wadada jibu kwann mnapenda swali ili
 
Kumsaidia MTU
Kumfurahisha MTU

Ukiwa mjinga utakuwa unafurahisha watu na sio kuwasaidia watu.
 
Yeye amekufanyia nn?simple...kama ni K si wote mliinjoi au yeye akilia maumivu?
 
Yaa mtu tupo na mwezi anaanza kuhoji nimemfanyia kitu gani
Umeshajiuliza/mmejiuliza kwa pamoja kwamba mna nia ipi katika uhusiano wenu?Ni suala la kushirikishana na siyo mmoja amuangalie/amtegee mwenzie na kusubiri tu apewe neno au afanyiwe jambo kama mlamavu.
 
Homeboy we bado sana kweye game. Si tushaambiwa huniridhishi hafu bado tunadunda.
 
Back
Top Bottom