muda si mrefu nami excel ntapotea jukwaani,
naomba nianze kuaga mdogo mdogo,
maji yameanza kunifika shingoni, sina budi kubwaga manyanga,
watakuja wengine wenye swaga zaidi ya excel.
Mwana mpotevu karib7 nyumbani, vipi uloshiriki na pork kwenye ,ajamvi mengine? Walikutimua na kukutoa nduki? Walikujambisha jambisha? The prodigal son karibu sanaaa, sisi kama Mwalimu tunakupokea tena, sema hela zetu zimeishia kuwalipa wajumbe wa bunge la katiba tungekufanyia party kama kitabu kinavoagiza. Tulijitahidi kuucheki kwwnyw ile ndege ya Malasiaola hatukuona jina Snowball, tukhis zileaspprt feki unahusika. All in all wecome home
Excel don u knw that i can't live without you....! cz we ndo huwa unanirahisishia hesabu zangu zote sasa mi nitafanyia wapi... rudi bhana kwenye Microsoftmuda si mrefu nami excel ntapotea jukwaani,
naomba nianze kuaga mdogo mdogo,
maji yameanza kunifika shingoni, sina budi kubwaga manyanga,
watakuja wengine wenye swaga zaidi ya excel.
muda si mrefu nami excel ntapotea jukwaani,
naomba nianze kuaga mdogo mdogo,
maji yameanza kunifika shingoni, sina budi kubwaga manyanga,
watakuja wengine wenye swaga zaidi ya excel.
lara 1 umenifanya nilie kwa kwikwi..
kiufupi I found difficulty living in another world out of JF..
I owe you a lot..
anyway ngoja aje ntakusontea ....
muda si mrefu nami excel ntapotea jukwaani,
naomba nianze kuaga mdogo mdogo,
maji yameanza kunifika shingoni, sina budi kubwaga manyanga,
watakuja wengine wenye swaga zaidi ya excel.
excel swaiba ukiondoka tu na mie nasepa,afu tutakua tunakutana kule ktaa kwenye eneo letu la kujidai,muda si mrefu nami excel ntapotea jukwaani,
naomba nianze kuaga mdogo mdogo,
maji yameanza kunifika shingoni, sina budi kubwaga manyanga,
watakuja wengine wenye swaga zaidi ya excel.
Ndo maana panaitwa jamvini.Unavua vikandambili,malapa,makobazi,chachacha,viatu n.k halafu wanyoosha miguu ama kuikunja kupata vijistori,vijisoga,vijigano,vijisasili,vijitarihi n.k..
Vikikutosha unanyanyuka unavaa ulivyovivua unakwenda ulikotoka.
Yakikushinda huko basi warudi jamvini wavua ulivyovaa na kukaa kitako kupata yale uliyoyakosa.
Jamvini maskani tulivu,makutano ya wote hapakosi waja wenda na hapakauki wazuru.
Karibu.
Karibu sana.
Karibu tena pengine hutaondoka tena ajapo aliyekurudisha.