Umemwona farasi?

Umemwona farasi?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,340
576051_447492835273331_1522548001_n.jpg
 
Ukigeuza picha unamwona farasi lakini kwa kuangalia picha ilivyo unaona chura. Mchoraji wa hiyo picha ana akili sana.
 
Ukigeuza picha unamwona farasi lakini kwa kuangalia picha ilivyo unaona chura. Mchoraji wa hiyo picha ana akili sana.
yaani kachora vitu viwili kwenye umbo mmoja
 
Nimemuona, macho ya chura ndiyo pua yake na miguu ya nyuma ya chura ndio masikio yake. Chemshabongo nzuri.
 
Nzuri sana hizi illusions. Inaonesha jinsi watu tuanvyoweza ku-perceive tofauti kitu kilele au mtu mmoja kuwa na perceptions tofauti juu ya jambo fulani kutegemeana cericumstance aliyomo (point of view). Wakati mwingine akili ikishajifix kwenye 'chura' inakuwa ngumu sana kuona 'farasi' pia! Kama hapa chini kuna watu wanaweza kushindwa kuona picha ya mwanamke mzee na badala yake wakaona picha ya msichana tu!

optical_illusion_fun.jpg
 
SMU&Excellent mmetishaaaaaa!!!

Kwa haraka haraka unaweza ukamuona binti mrembo anaonekana kwa nyuma na unywele mzuri ila ukiangalia vizuri unamuona bibi ana bonge la pua!!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
SMU&Excellent mmetishaaaaaa!!!

Kwa haraka haraka unaweza ukamuona binti mrembo anaonekana kwa nyuma na unywele mzuri ila ukiangalia vizuri unamuona bibi ana bonge la pua!!
a.aaa-How-many-sheep-you-see.jpg
 
Back
Top Bottom