Umemuoa au kuolewa na uliyeanza naye mapenzi?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Wanajamvi,

Uzoefu unaonyesha kuwa asilimia 90 ya wenye ndoa hawajawaoa au kuolewa na wapenzi walioanza nao mapenzi kwa mara ya kwanza.

Binafsi sikumwoa niliyeanza naye, na nina ushahidi wa ndugu na jamaa zangu wengi wenye hali kama yangu.

Je ni kwamba wapenzi wetu wa kwanza huwa ni wa kujifunzia mapenzi, kisha tunawakimbia?

Au mwanzoni huwa hakuna nafasi ya uchaguzi na tunatawaliwa na papara na mihemko zaidi kuliko qualities za wapenzi, na tunakuja kugundua baadaye?

Naombeni maoni.
 
kuolewa na wa kwanza hasara, hata hujafanya data collection, sampling, na kufanya analysis.
Hmmmmm!!
Lakini kama wote wa2 hamjafanya ni poa, maana inakuwa hakuna mjanja wa kumng'ong'a mwenzake!
 
ah mi bana nimeolewa na niliyeanza naye,tulidate kama aka 9 hivi,lakn hapo kati fujo fujo kibao ila mwisho tukaona cha kuhangaika nini,tukakamilisha mahesabu!ahjahhhahahhahhahahhahhahhhahahahhahah
 
Inakua ngumu sababu sa nyingine tunaanza mapema sana kabla hata hatujajua maisha yatatupeleka wapi badae,ila kama ukijitahdi ukawa na boyfriend/girlfriend wkt kidogo upo level fulani ya maisha eg chuo uwezekanao upo ila pia kwa asilimia chache coz kuumizana nakutokusamehena kunatutenganisha na hao wapenzi wa kwanza.
 
kuolewa na wa kwanza hasara, hata hujafanya data collection, sampling, na kufanya analysis.

i beg to differ with you Konnie in this one....
Mapenzi yaliumbwa kwa ajili ya mioyo miwili tu na ndio maana mtu wa kwanza alikuwa mtu mume na mtu mke, hizi habari nyingine za ugirlfriend na uboyfriend ni siye wana wa adam tumejihalalishia tu baada ya kuona matamanio yanatushinda.
Sasa nirudi kwenye mada husika, kuwezekana ama kutokuwezekana inategemea na makuzi. Zipo tamaduni ambazo watu huthamini suala la ndoa na hata binti huweza kuchumbiwa kabla hata hajazaliwa.
 
ah mi bana nimeolewa na niliyeanza naye,tulidate kama aka 9 hivi,lakn hapo kati fujo fujo kibao ila mwisho tukaona cha kuhangaika nini,tukakamilisha mahesabu!ahjahhhahahhahhahahhahhahhhahahahhahah
One in a million!
Hongera sana.
Kwa vijana wa sasa hivi hiyo ndio kama vile haipo kabisa!...inataka moyo hii!
 
shida ya sasa ni upungufu wa uaminifu na kutawaliwa na tamaa kwa sie vijana ndo maana tunajikuta hatuko nao tulioanza nao.
 
Mi_napita hapa,..maake sijaoa na wala sijaanza haka kamchezo mkuu.....lo!
Ishia hapohapo!..ukiongeza neno nakuharibia...Vipi pale mtaa wa Polisi karibu na CEDHA? ...bado wapo?
 
shida ya sasa ni upungufu wa uaminifu na kutawaliwa na tamaa kwa sie vijana ndo maana tunajikuta hatuko nao tulioanza nao.
Kwa sasa ni kweli!
Lakini hata zamani kidogo hili jambo linabakia kuwa hivyo!
Mimi ni wa zamani kidogo lakini nimekuta hali hiyo ipo...
Labda tunagundua kuwa tuliyeanza nae mapenzi ni mhuni, ndiyo maana in the first place alikubali kufanya mapenzi pasipo ahadi ya kuoana!
 
Mkuu hapo kwenye blue_ya kweli hayo......?...sio kwamba nakuharibia lakini.
 
ah mi bana nimeolewa na niliyeanza naye,tulidate kama aka 9 hivi,lakn hapo kati fujo fujo kibao ila mwisho tukaona cha kuhangaika nini,tukakamilisha mahesabu!ahjahhhahahhahhahahhahhahhhahahahhahah

hivi kumbe tupo wengi eeh! mie niliyeanza nae ndo niliyeolewa nae ingawa yeye aliwah kupata wa mashtuzi before but to me alikuwa na first.
 
Kwa bahati mbaya nilianza 'utundu' tangu nikiwa na miaka 14 hivi na kuja kuoa miaka 15 baadae! Naamini vijana wengi wana historia inayofanan sana na hii ya kwangu. Sasa hiyo miaka 15 ya rafu kwa kweli ni Mungu tu ndio anajua kwa nini nipo/tupo hai mpaka sasa!

Wakati mwingine inakuwa vigumu pia kusema yupi hasa ni wa mwanzo (i.e. maana najiuliza wa mwanzo katika lipi hasa?)
 
Kuoa/au kuolewa uliyeanza naye sidhani kama ni bahati.
unaweza ukaoana na mlyeianza naye na mambo yakaenda kombo.
 
kuolewa na wa kwanza hasara, hata hujafanya data collection, sampling, na kufanya analysis.

kabisa Kongosho, mtu wa namna hiyo akionja nje lazima achanganyikiwe........achonge mzinga....uzoefu muhimuuuu

ila ukweli ni kuwa wengi penzi la mwanzo hua la kitoto..... Ambao mna mwendo mrefu bado, hamjui maisha nk ndo maana kila mtu anaenda mwelekeo wake
 
Last edited by a moderator:
Wapenzi wa kwanza kusema kweli WANA UTAMU WAO!!! Ila bwana mtu unatakiwa uonje uonje ili ukiamua uwe na uhakika. Utasemaje maharage matamu kuliko nyama, wakati nyama hujawahi kuonja???? Inabidi upime VIWANGO!!!!
 
Mkuu tatizo linakuja ni yupi alikuwa wa kwanza maana kuna vijana wa listi ndefu na waliamza toka msingi leo yukonkazini
Personally nina bahati ya kumuoa niliyeanza naye baada ya uchumba wa miaka kumi then tukaoana
Ila ukifanya trend analysis vijana wengi wa siku izi ukiona kaoa aliyeanza nae ujue alisingiziwa mimba na wazazi wa binti walikomaa hasa mkiwa ni majirani
 
Back
Top Bottom