Hii kitu inawezekana shida inakuja pale atakapochepuka nje ndo balaa linaanza
Anaona wewe hujui kamchezo...................
Bora yule ametest test anajua test nyingi hata akichepuka hataona ajabu lakini
eti wewe na yeye tu mwanzo mwisho mmmmhhhh hiyo hapana......................
Halafu PJ mmeanzana wote siku moja au mmoja ndo akaanzwa????
Siamini kama mtakutana wote hamjaanza hiyo kwa kweli ngumu.....
Kuoa/au kuolewa uliyeanza naye sidhani kama ni bahati.
unaweza ukaoana na mlyeianza naye na mambo yakaenda kombo.