Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,587
- 28,749
Wapenzi wa membe tukutane rock city mol, ninyi team jiwe bakini hapo hapo makaburiniWapenzi wa Magufuli tukutane hapa
🙏🏾Kufeli kwa Jiwe hakuhusiani na siasa,ila kashindwa kuleta UMOJA,kuinspire watu wachakarike,Kurahisisha njia za uchumi,Kuwa motivate wafanyakazi,na kuwa fariji wahanga mbali mbali.
Ukifeli hayo mambo hapo juu lazima ufeli SIASA.
Umepatia 😀dressing room hapa ni wapi? Lumumba au?Kufeli kwa Jiwe hakuhusiani na siasa,ila kashindwa kuleta UMOJA,kuinspire watu wachakarike,Kurahisisha njia za uchumi,Kuwa motivate wafanyakazi,na kuwa fariji wahanga mbali mbali.
Ukifeli hayo mambo hapo juu lazima ufeli SIASA.
Wewe!!..acha zako mtu anaambiwa kikubwa JANUARY MAKAMBA 2020.alikuwa anaongelea ishu ya Mourinho, hakuna issue nyingine hapo.
Thumb up..Wapenzi wa membe tukutane rock city mol, ninyi team jiwe bakini hapo hapo makaburini