Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

Umeme wa 'wireless' kuiangamiza TANESCO!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,526
Reaction score
46,612
Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-b*ka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL.

Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-b*ke yenyewe hadi kufa!

================================
Update: 2021
Mambo yanazidi kuiva

Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-baka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL. Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-bake yenyewe hadi kufa!
Mkuu hata kwa sayansi ya darasa la saba tu unaweza kugundua kuwa haiwezekani umeme kuwa wireless.
 
Kama mawasilano ya simu yangeendelea kutumia miwaya ya kwenye nguzo basi ni dhahiri kwamba TTCL ingeendelea kuwa-baka waTZ hadi leo hii, ila tu kilichowaokoa ni teknolojia ya wireless communication iliyoleta upinzani kwa kibudu TTCL. Sasa basi, hivi karibuni wana-sayansi wanatarajia kuzindua umeme wa wireless ambapo huhuitaji wire kusafirisha umeme toka kituo cha kufua umeme hadi nyumbani kwako, kuanzishwa kwa hii kitu kutasababisha TANESCO iji-bake yenyewe hadi kufa!

mkuu nadhani umeathirika na hali ya watoto wa mbwa kukulaza saa mbili kama juzi walivyokufanyia.
 
Ni ngumu sana umeme kuwa wireless, Electric charge lazima zisafiri kwenye kitu ambacho kinapitisha hizo charge, Hewa hutumika kama kikinzani (resistance) tena ni resistance kubwa sana, unapokuwa na gap dogo tu la kama 0.1mm linatosha sana kukata umeme hasa huu umeme mdogo, kwa hiyo unapokuwa na gap la kama 5km kutoka kituo kimoja hadi kingine ukinzani wake ni balaa na kama kuna nguvu ya umeme itapenya hapo maana yake viumbe hai vilivyopo katikati ya hivyo vituo vitakufa vyote maana haviwezi kuhimili hiyo nguvu.
 
ndani ya miaka 5 mpaka 10 tutakuwa na umeme wa wireless, kuna vifaa tayari vitaingia sokoni mwaka huu na mwaka kesho ambavyo vinatumia umeme wa wireless ndani ya nyumba. Mfano kama charger ya simu hautahitaji cable bali unachomeka charger yako kwenye umeme then ndani ya nyumba yako unaweza kucharge simu regardless upo wapi kwani haiitaji wire.

Kwa large scale hasa umeme wa msongo mkubwa tayari wameshaproove inawezekana wanachofanyia kazi sasa ni safety kwa watu. Hatuna muda mrefu hatutakuwa na high tension cables allover our heads maana transmission itakuwa wireless.
 
Back
Top Bottom