UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,603
Bongo kila kitu tunaingiza siasa ndio inafanya watu wanalalamika tu ilimradi ila ukiangalia hili suala hakuna hata kulalamika kwa sababu kodi ya majengo ipo tu siku zote sio kitu kipya, labda wahoji kuhusu wapangaji au kwa wenye luku zaidi ya moja ila hii ya kulalamika kukatwa buku tu kila mwezi kwa mwaka elfu kumi na mbili kodi ya majengo sioni cha kulalamika.Lkn Hii kodi ya JENGO haina tatizo lolote kuiweka kwenye LUKU sababu wanye nyumba walio wengi hawalipi PROPERTY TAX Kinacho takiwa kuwaelewesha Wananchi kodi anayo lipa ni mwenye NYUMBA tu na shillings 1000 kila mwezi kwa hiyo kwa mwaka sh 12000/= tu kwa nyumba za kawaida.
Sione sababu watu kuwa na maneno mengi sababu haiwezi kuzidi sh1000 kwa mwezi kwa nyumba ya kawaida sema tatizo sisi Kama WATANZANIA tumezoea ku- exaggerate vitu vingi sn .
Sasa kinacho takiwa kama mpangaji wa nyumba unakaa kweny nyumba ambayo OWNER hakai hapo lazima kwenye KODI YAKE ITOLEWE SH 12000 kama malipo ya JENGO kupitia LUKU basi shida ipo wapi hapo?.