Umeme wa Shilingi 5,000 nimepata Units 8.5. Je, tutafika?

Hizi ni kodi mbaya sana kwa sababu zinaumiza masikini zaidi. Kwa matajiri 12,000 kwa mwaka siyo shida kabisa. Lakini kwa walio wengi ambao ni masikini, inawadidimiza zaidi ndani ya umasikini. Kodi nzuri ni ile inayopendelea masikini na kuwapa matajiri nafasi ya kuchangia zaidi. Tozo za miamala zinamweka masikini na Bakhresa katika kapu moja.
Yaani President anapiga mulemule kwenye very basic needs za kila familia. Inflation coming soon.

Yaani hawa watu imebaki watumalizie na kodi ya kuvuta oxygen
 
Mi najiuliza hivi huyu anaeshauri haya manini sijui hivi anaweza jaza fomu ya kuomba ridhaa 2025?
 
Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani.

Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!

View attachment 1901225
2022 Ujenzi wa BWAWA LA UMEME Mwalimu Nyerere unakamilika......

Watanzania tutafaidi sana hizo MEGAWATI 2200....

#NchiKwanzaKablaYaYeyote
#TanzaniaTaifaBoraTulivuBaraniAfrika
#SiempreJMT
 
Unajua watu wameshindwa kuelewa kitu kimoja muhimu sn na hapa ndio unaweza kujua WATANZANIA walio wengi baado sn kufikiria nje ya BOX Why?

Serikali inatakiwa kusema ukweli tu mzigo uliopo wa MADENI mzigo mkubwa sn kwa Serikali kwahiyo hakuna jinsi lazima watafute njia nyingine za KU-GENERATE REVENUE otherwise hali itakuwa mbaya zaidi huko mbeleni.

Sababu MIRADI YOTE aliye anzisha MWENDAZAKE ni ZIGO KUBWA SN na lazima libebeke liweze kufika huko liandako lkn chamtemakuni Kukipata WANANCHI A.K.A wanyoge. Deni la JPM aliyetuachia kwa miaka 5 Sh 61 Trillion sio mchezo nyie watu kwa uchumi wenyewe TZ .

Sasa sijui MAMA ataongeza kiasi gani? Ili hiyo miradi ikamilike.

Nabado MAJI lazima muite MMMAA
 
Kuujenga na KUUSIMAMISHA VYEMA uchumi wa taifa kubwa na lenye watu wengi wanaohitaji huduma za umma kama idadi yetu si kazi NYEPESI......

Wale waliokuwa wakipigia kelele FOLENI pale UBUNGO na TAZARA leo NAFSI ZAO kwatuuuuu......

Nimesikia na wakazi wa Mbagala wanalalamikia sana FOLENI chini ya daraja la TRENI pale baina ya Mtoni Mtongani na Kituo Cha Msikitini......KARIBUNI MWENDO KASI UKIKAMILIKA watasahau yote hayo...........

#KuujengaUchumiWaNchiSiKaziLelemama
#TaifaKwanza
 
Back
Top Bottom