mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Pole sana mkuu komaa ujenge hata chumba kimoja nyumba za kupanga ni shida tupu. Hao wasio changia ukiwekwa umeme wa kwanza kufungulia SABUFA.Nimeeanza kuelewa kwa nn Masai hawapangi vyumba wanaishi stendi na kwenye malindo
Mana hakuna kitu kinachokera Kama wew umechangia umeme af wenzio hawajachanga af umeme unaisha munabaki giza af wao wamenuty
Hapo chipo lakn uchichomoe
Wamasai hahahahNimeeanza kuelewa kwa nn Masai hawapangi vyumba wanaishi stendi na kwenye malindo
Mana hakuna kitu kinachokera Kama wew umechangia umeme af wenzio hawajachanga af umeme unaisha munabaki giza af wao wamenuty
Hapo chipo lakn uchichomoe
Kweli mkuubila hivyo huwezi kufikilia kuwa na kwako hata kama huna pesa, angalau wazo tu.
Miaka kama 21 nilihamia mkoa fulani ki biashara ikabidi nichukue chumba kwamba kila nikisafiri nikirudi nisiwe nahangaika kulala guest basi bwana kuna jamaa walikuwa na viredio kama wanne hivi kelele zake hadi kero ukiwaambia wanakuja juu wewe mu baba si na wewe ununue yako wivu tu unakusumbua nikaona dawa ya jeuri ni makusudi nikazama dukani nikaja na Sony yangu nikaja nikafungulia mziki mpka mwisho halafu nikaenda kutembea nikarudi muda umeenda nilikarudi muda umeenda nikakuta watu hawajalala wanalalamika tu nikawaambia mnaona dawa ya. Moto ni motoPole sana mkuu komaa ujenge hata chumba kimoja nyumba za kupanga ni shida tupu. Hao wasio changia ukiwekwa umeme wa kwanza kufungulia SABUFA.
Mwenyewe sipendi kelele, kuna kipindi nilikua nafanya kazi za field na kampuni moja ya kimarekani so tukapewa pikipiki za kufanyia shantingi za hapa na pale, wapangaji wakawa wananipigia kelele na viredio vyao, nkaingiza pikipiki ndani nkaliwasha nkavuta mpaka mwisho nkalipiga roki nkaondaka nkaliacha linapiga kelele kurudi nakuta kila mtu kanuna nkawaambia kila mtu na chakeM
Miaka kama 21 nilihamia mkoa fulani ki biashara ikabidi nichukue chumba kwamba kila nikisafiri nikirudi nisiwe nahangaika kulala guest basi bwana kuna jamaa walikuwa na viredio kama wanne hivi kelele zake hadi kero ukiwaambia wanakuja juu wewe mu baba si na wewe ununue yako wivu tu unakusumbua nikaona dawa ya jeuri ni makusudi nikazama dukani nikaja na Sony yangu nikaja nikafungulia mziki mpka mwisho halafu nikaenda kutembea nikarudi muda umeenda nilikarudi muda umeenda nikakuta watu hawajalala wanalalamika tu nikawaambia mnaona dawa ya. Moto ni moto
Mkuu uliwaweza kuna watu wapuuzi sana yaani radio tu watu tunapata shida mimi niliona hawajui utaratibu wa kuishi nikawatoa adabuMwenyewe sipendi kelele, kuna kipindi nilikua nafanya kazi za field na kampuni moja ya kimarekani so tukapewa pikipiki za kufanyia shantingi za hapa na pale, wapangaji wakawa wananipigia kelele na viredio vyao, nkaingiza pikipiki ndani nkaliwasha nkavuta mpaka mwisho nkalipiga roki nkaondaka nkaliacha linapiga kelele kurudi nakuta kila mtu kanuna nkawaambia kila mtu na chake
Hii ni zaidi ya kero unaludi job umechokaaa una kutana na mikelele ya mix kule taarabu pale singeli.M
Miaka kama 21 nilihamia mkoa fulani ki biashara ikabidi nichukue chumba kwamba kila nikisafiri nikirudi nisiwe nahangaika kulala guest basi bwana kuna jamaa walikuwa na viredio kama wanne hivi kelele zake hadi kero ukiwaambia wanakuja juu wewe mu baba si na wewe ununue yako wivu tu unakusumbua nikaona dawa ya jeuri ni makusudi nikazama dukani nikaja na Sony yangu nikaja nikafungulia mziki mpka mwisho halafu nikaenda kutembea nikarudi muda umeenda nilikarudi muda umeenda nikakuta watu hawajalala wanalalamika tu nikawaambia mnaona dawa ya. Moto ni moto
Hahahahahaha mkuu kuna kipindi nilipelekwa mtwara miaka ya 97 wamakonde na ngoma zao ilikuwa ni zaidi ya karaha nilivumilia tuHii ni zaidi ya kero unaludi job umechokaaa una kutana na mikelele ya mix kule taarabu pale singeli.
🤣🤣🤣Usiombe uishi nyumba na wamakonde yaani akinunua SABUFA, mtajuta hakuna kulala redio free Africa utasikiliza utake usitake, ukiwapangisha kwenye nyumba ni wakorofi kulipa kodi.Hahahahahaha mkuu kuna kipindi nilipelekwa mtwara miaka ya 97 wamakonde na ngoma zao ilikuwa ni zaidi ya karaha nilivumilia tu
Kwenye kulipa kodi ni watata sana🤣🤣🤣Usiombe uishi nyumba na wamakonde yaani akinunua SABUFA, mtajuta hakuna kulala redio free Africa utasikiliza utake usitake, ukiwapangisha kwenye nyumba ni wakorofi kulipa kodi.
Yaani kwanza ni wajanja mno wana tabia ya kuamisha vyombo usiku umelala au asafili ndio kimoja hiyoKwenye kulipa kodi ni watata sana
🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha Kuna mpangaji alikuwa mtata kulipa pesa ya mchango wa umeme anataka kulipa nusu akiulinzwa why? Jibu nina taa tu chumbani na feni, Baba mwenye nyumba nae ni mtata akamjibu kwa hiyo niende dukani nikakununulie vitu vya umeme nicheka siku.Ogopa kuishi nyumba ya kupanga alafu una feni tu na taa... aisee ile hela ya umeme inauma sana
Huo Sio ujanja ni ujinga wa kimaskin jumlisha na upunguani wa akil kutoroka kod Sio akil hata Siku mojaYaani kwanza ni wajanja mno wana tabia ya kuamisha vyombo usiku umelala au asafili ndio kimoja hiyo
Umenikumbusha Kuna mpangaji alikuwa mtata kulipa pesa ya mchango wa umeme anataka kulipa nusu akiulinzwa why? Jibu nina taa tu chumbani na feni, Baba mwenye nyumba nae ni mtata akamjibu kwa hiyo niende dukani nikakununulie vitu vya umeme nicheka siku.