Umeme wa luku nyumba za kupanga

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
12,349
2,000
Wapangaji ni shida. Umeme na maji mtapigizana kelele sana. Wengine hata kodi mpaka kelele kutoa kwa hiyari hamna !!.
 
Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,126
2,000
Nimeeanza kuelewa kwa nn Masai hawapangi vyumba wanaishi stendi na kwenye malindo
Mana hakuna kitu kinachokera Kama wew umechangia umeme af wenzio hawajachanga af umeme unaisha munabaki giza af wao wamenuty
Hapo chipo lakn uchichomoe
Pole sana mkuu komaa ujenge hata chumba kimoja nyumba za kupanga ni shida tupu. Hao wasio changia ukiwekwa umeme wa kwanza kufungulia SABUFA.
 
bikira latifah

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
523
1,000
Nimeeanza kuelewa kwa nn Masai hawapangi vyumba wanaishi stendi na kwenye malindo
Mana hakuna kitu kinachokera Kama wew umechangia umeme af wenzio hawajachanga af umeme unaisha munabaki giza af wao wamenuty
Hapo chipo lakn uchichomoe
Wamasai hahahah
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,711
2,000
M
Pole sana mkuu komaa ujenge hata chumba kimoja nyumba za kupanga ni shida tupu. Hao wasio changia ukiwekwa umeme wa kwanza kufungulia SABUFA.
Miaka kama 21 nilihamia mkoa fulani ki biashara ikabidi nichukue chumba kwamba kila nikisafiri nikirudi nisiwe nahangaika kulala guest basi bwana kuna jamaa walikuwa na viredio kama wanne hivi kelele zake hadi kero ukiwaambia wanakuja juu wewe mu baba si na wewe ununue yako wivu tu unakusumbua nikaona dawa ya jeuri ni makusudi nikazama dukani nikaja na Sony yangu nikaja nikafungulia mziki mpka mwisho halafu nikaenda kutembea nikarudi muda umeenda nilikarudi muda umeenda nikakuta watu hawajalala wanalalamika tu nikawaambia mnaona dawa ya. Moto ni moto
 
Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
4,997

Mwenyewe sipendi kelele, kuna kipindi nilikua nafanya kazi za field na kampuni moja ya kimarekani so tukapewa pikipiki za kufanyia shantingi za hapa na pale, wapangaji wakawa wananipigia kelele na viredio vyao, nkaingiza pikipiki ndani nkaliwasha nkavuta mpaka mwisho nkalipiga roki nkaondaka nkaliacha linapiga kelele kurudi nakuta kila mtu kanuna nkawaambia kila mtu na chake
 
Mkuu uliwaweza kuna watu wapuuzi sana yaani radio tu watu tunapata shida mimi niliona hawajui utaratibu wa kuishi nikawatoa adabu
 
Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,126
2,000
M

Miaka kama 21 nilihamia mkoa fulani ki biashara ikabidi nichukue chumba kwamba kila nikisafiri nikirudi nisiwe nahangaika kulala guest basi bwana kuna jamaa walikuwa na viredio kama wanne hivi kelele zake hadi kero ukiwaambia wanakuja juu wewe mu baba si na wewe ununue yako wivu tu unakusumbua nikaona dawa ya jeuri ni makusudi nikazama dukani nikaja na Sony yangu nikaja nikafungulia mziki mpka mwisho halafu nikaenda kutembea nikarudi muda umeenda nilikarudi muda umeenda nikakuta watu hawajalala wanalalamika tu nikawaambia mnaona dawa ya. Moto ni moto
Hii ni zaidi ya kero unaludi job umechokaaa una kutana na mikelele ya mix kule taarabu pale singeli.
 
Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
6,711
2,000
Hii ni zaidi ya kero unaludi job umechokaaa una kutana na mikelele ya mix kule taarabu pale singeli.
Hahahahahaha mkuu kuna kipindi nilipelekwa mtwara miaka ya 97 wamakonde na ngoma zao ilikuwa ni zaidi ya karaha nilivumilia tu
 
Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,126
2,000
Hahahahahaha mkuu kuna kipindi nilipelekwa mtwara miaka ya 97 wamakonde na ngoma zao ilikuwa ni zaidi ya karaha nilivumilia tu
🤣🤣🤣Usiombe uishi nyumba na wamakonde yaani akinunua SABUFA, mtajuta hakuna kulala redio free Africa utasikiliza utake usitake, ukiwapangisha kwenye nyumba ni wakorofi kulipa kodi.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,044
2,000
Nyumba ya kupangawni kijiji kinachojitegemea. Familia sita au zaidi na kila familia ina watoto. Bado shangazi Mwanauani na mama mdogo Mwanaharusi hawajaja kukusalimia
 
gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
5,489
2,000
wapangaji mkishakuwa wengi lazima msumbufu yaan yule asiyetoa kabisa au anayetoa kwa mbinde lazima awepo...

Bora kupanga nyumba nzima.. au angalia umeme muwe mnashare wawili...

Mi hizo kero nshazisahau.. na ninapokaa saizi kila mmoja ana kisoma mita cha kwake.. hamna kuibiana units!!
 
Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,126
2,000
Ogopa kuishi nyumba ya kupanga alafu una feni tu na taa... aisee ile hela ya umeme inauma sana
🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha Kuna mpangaji alikuwa mtata kulipa pesa ya mchango wa umeme anataka kulipa nusu akiulinzwa why? Jibu nina taa tu chumbani na feni, Baba mwenye nyumba nae ni mtata akamjibu kwa hiyo niende dukani nikakununulie vitu vya umeme nicheka siku.
 
wax

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
4,152
2,000
Yaani kwanza ni wajanja mno wana tabia ya kuamisha vyombo usiku umelala au asafili ndio kimoja hiyo
Huo Sio ujanja ni ujinga wa kimaskin jumlisha na upunguani wa akil kutoroka kod Sio akil hata Siku moja
Angekua mjanja angejenga kwake badala yake anadandia nyumba za watu halafu anatoroka usiku utahira upumbavu ujinga ulofa, umaskini
 
rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
11,730
2,000
Umenikumbusha Kuna mpangaji alikuwa mtata kulipa pesa ya mchango wa umeme anataka kulipa nusu akiulinzwa why? Jibu nina taa tu chumbani na feni, Baba mwenye nyumba nae ni mtata akamjibu kwa hiyo niende dukani nikakununulie vitu vya umeme nicheka siku.
Aisee huyo mzee balaaa..
 
Top Bottom