Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,691
- 40,893
Kuepuka kero jenga
Dah kuna watu mnamakusudi.Mwenyewe sipendi kelele, kuna kipindi nilikua nafanya kazi za field na kampuni moja ya kimarekani so tukapewa pikipiki za kufanyia shantingi za hapa na pale, wapangaji wakawa wananipigia kelele na viredio vyao, nkaingiza pikipiki ndani nkaliwasha nkavuta mpaka mwisho nkalipiga roki nkaondaka nkaliacha linapiga kelele kurudi nakuta kila mtu kanuna nkawaambia kila mtu na chake
wapangaji mkishakuwa wengi lazima msumbufu yaan yule asiyetoa kabisa au anayetoa kwa mbinde lazima awepo...
Bora kupanga nyumba nzima.. au angalia umeme muwe mnashare wawili...
Mi hizo kero nshazisahau.. na ninapokaa saizi kila mmoja ana kisoma mita cha kwake.. hamna kuibiana units!!