Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UMEME WA JUA msaada wanaJF

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KASRI, Feb 2, 2011.

 1. K

  KASRI Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Salaam wanaJF.
  Naomba kufahamishwa gharama/bei za/ya kufunga umeme wa jua (solar electricity) itakayoweza kutumika kwa vifaa vya nyumbani vikiwemo:jokofu (friji), RUNINGA (tv), REDIO,TAA KAMA 8 NK.

  TAFADHALI NAOMBA MSAADA HUO KWA ANAYEFAHAMU ILI NIKAWAPE WAZAZI WALIOPO KIJIJINI (MOROGORO) KAMA ZAWADI. NDIO NIMEANZA KAZI HIVYO MSHAHARA WA MWANZONI NAPENDA UKAFANYE HIYO KAZI.

  NATANGULIZA SHUKURANI.
   
 2. K

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 6,614
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Hebu piga hii namba ulizia anold 0787001525, 0715007525
   
Loading...