Umeme vijijini: futuhi wametoa point ya msingi

Umeme vijijini: futuhi wametoa point ya msingi

Liganga na mchuchuma tangu utoto mpaka uzee wangu...sasa wameongeza na hili.....
Nenda vijijini kajionee hao wanaotaka kuletewa umeme ndio utajua kama wanahitaji umeme kwanza au huduma ya maji safi na salama....
Ndio matatizo ya viongozi wetu (watawala wetu??), wanakurupuka tu. ishu ya vijijini namba moja ajira ya kule ni kilimo. kwa hiyo kilimo lazima kiboreshwe ili watu wapate mahitaji yao kutokana na shughuli zinazoeleweka. wazalishe chakula na mazao mengine kwa wingi na wapate malipo mazuri na kwa wakati. hapo sasa wawezeshe kuimarisha makazi yao,huduma kama maji salama, afya na shule bora. katika mazingira hayo unaweza kuongelea umeme vijijini, wakati hayo yakiwa mbioni kutekelezwa na kuboreshwa. lakini hiyo ya umeme vijijini mbona Mtwara imeshindikana?
 
"Ni upumbavu kushabikia ujinga"
Wewe Bupilipili upumbavu ni upi? Na ujinga ni upi? Hapo kwenye mchango wangu? Kwanza wewe ni Bupilipili gani? Huyu ninayemfahamu mimi au mwingine? Mwenye jina linaloanzia na "S" anayefanyakazi Kigoma shirika moja linaloanza na W? Naomba ujisalimishe haraka kabla sijakushushia mvua ya mawe? Tafadhali bwana!! tena usirudie kujibia michango ya wenzio huku ukiwatukana!!

Au unaona wivu kwa vile pale kwenu karibu na Nyakanazi hamjapata umeme? Taratibu mkuu kuna siku na kwenu utafika tu! Hapo ndo utaona maendeleo yanavyosonga mbele kutokana na umeme. Hatuwezi kusubiri mpaka watu wajenge nyumba nzuri ndo tupeleke umeme. Watu wenyewe wafuate umeme!!
 
Wanapoongelea vijijini ni makao makuu ya kata kule usukumani wanaita sentani

si kweli ndugu, kwenye hizo center kuna wakazi wangapi? lengo ni kwa wananchi wote wapewe umeme, huu mpango si kwamba ndo umeanza ni mwendelezo tu, unatakiwa ujue kuwa kuna vijiji wameshafikisha umeme lakini ni wananchi wangapi wamemudu kuunganishwa?
 
Hawawezi kupata mifuko ya cement wakati mchumi wa CCM mudhungu alisema haiwezekani ikauzwa 5000 ya Dr. Slaa
 
Hawa watu wa vijijini hawajui jinsi Wajanja wanavyokula hapa TZ.

Mfano katika bajeti Serikali imetangaza kuwa wana mpango wa kuanzisha Benk ya Wakulima;

Wabunge kwa umbumbumbu wakashangilia na kupiga makofi eti mkombozi wa wakulima atapatikana!!!!

Janja yao binafsi nimeishitukia kutafuta fedha tu!!!!!!

KUNA BENK YA "CRDB" (Cooperative and Rural Development Bank)Benki ya Ushirika na maendeleo Vijini.

Malengo ya hii benki miaka ilipoanzishwa ni kama jina lake linavyojieleza lakini hivi sasa hii benki imekuwa kwa ajili ya mafisadi na wafanyabiashara wakubwa. Haimnufaishi mkulima wala vyama vya ushirika.

Hii Benki ipo maeneo ya mijini tu huko vijijini kwanza hata hawajui kama kuna benki ya maendeleo vijijini. Enzi zile za utawala wa awamu ya kwanza kweli nakubali hii benki ilifanya kazi iliyokusudiwa, nakumbuka vijiji walikuwa wanakopeshwa magari ya kijiji na matrekta ya kijiji toka katika benki hii.

Leo hii Serikali wanakuja na ndoto za kuanzisha kitu ambacho kipo tayari. Kwa nini wasielekeze nguvu za CRDB katika malengo ya kuanzishwa kwake???? Au wabadirishe jina hii benki isiwe CRDB tena atafute jina lingine tujue moja.

Sas mnasema mnataka kupeleka umeme vijijini na ikiwa watu wapo katika enzio za UJIMA kutumia jembe la mkono!!!!!!!

Huduma za afya ni mbovu!!!!!!

nk nk nk nk

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Mkuu siku hizi CRDB haina kirefu chake, ni crdb kama crdb. Ilishahama, na ndo benki pekee iliyofanikisha sana issue za richmond.
 
Wewe Bupilipili upumbavu ni upi? Na ujinga ni upi? Hapo kwenye mchango wangu? Kwanza wewe ni Bupilipili gani? Huyu ninayemfahamu mimi au mwingine? Mwenye jina linaloanzia na "S" anayefanyakazi Kigoma shirika moja linaloanza na W? Naomba ujisalimishe haraka kabla sijakushushia mvua ya mawe? Tafadhali bwana!! tena usirudie kujibia michango ya wenzio huku ukiwatukana!!

Au unaona wivu kwa vile pale kwenu karibu na Nyakanazi hamjapata umeme? Taratibu mkuu kuna siku na kwenu utafika tu! Hapo ndo utaona maendeleo yanavyosonga mbele kutokana na umeme. Hatuwezi kusubiri mpaka watu wajenge nyumba nzuri ndo tupeleke umeme. Watu wenyewe wafuate umeme!!

Duuuh..... Hii mbona kama vile name calling!
 
Habari wadau,
Mdau nilikuwa nnaangalia kipindi cha futuhi, kinachorushwa na Star Tv , wamezungumzia swala la umeme vijijini ingawa ni kwa vichekesho lakini nnamimi ujumbe umefika. Wamesema umeme vijijini, nyumba zenyewe za nyasi je watakuwa na sifa za kuwekewa umeme?

Wameongezea kuwa ni bora wapewe kwanza mifuko ya sementi ili waboreshe kwanza makazi yao.
wadau hapa kuna mambo yakujadili
1) makazi duni
2) kumudu gharama za umeme. e.t.c
Je wakazi wa vijijini wameandaliwa kupokea huo umeme ambao serikali inaupigia chapuo

Ila mbona huu umeme wa vijijini na hio REA siioni Iramba Magharibi??? Au mbunge yuko buzy uchina. Kuna makazi bora kabisa ya kisasa watu wanajenga Iramba Magharibi lakini sioni umeme wa REA huku kodi yangu ya kusaidia gharama za kusambaza umeme vijijini watu wote tunatoa.
 
Duuuh..... Hii mbona kama vile name calling!

Hapana mkuu kamenitukana haka kamjamaa!!

Najua hawezi jibia hapo hapo kunipa ufafanuzi kwamba ndo yeye. Lazima atani-PM kama atakuwa na nia ya kunijibu kuwa ndo yeye!!

Nisamehe kwa bure mkuu!!
 
Hatuwezi kusubiri mpaka watu wajenge nyumba nzuri ndo tupeleke umeme. Watu wenyewe wafuate umeme!!

Na kweli hata nyumba hii nayo inahitaji Umeme.......

View attachment 104677

Lakini kabla ya kufikiria umeme kwa nini tusiboreshe huduma za Afya, mfano waangalie hawa Vijijini, hospitali wanapotibiwa na sidhani kama hata dawa zipo hapa:-

View attachment 104678

Kumbe si vijijini tu kwenye kero ya hudumaza Afya, Angalia hii hospitali ya Temeke Jijini DSM, akina mama walivyopangana wodini kama nyanya ndani ya Tenga:-

Akina mama Hospitali.jpg

JE, TUTAFIKA......... TAFAKARi......

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!​
 
View attachment 104679

JE, TUTAFIKA......... TAFAKARi......

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!​

mkuu hatutafika, hao ndo viongozi wetu, wao wanasema kwa utafiti walioufanya, ukiuliza utafiti uko wapi hakuna
 
Siku hizi nikitaka kucheka nawacheki FUTUHI wamewashinda Orino komedi sana siku hizi kwani vitu vyao vinagusa maisha ya kila siku ya wabongo hasa bro K
 
Na kweli hata nyumba hii nayo inahitaji Umeme.......

View attachment 104677

Lakini kabla ya kufikiria umeme kwa nini tusiboreshe huduma za Afya, mfano waangalie hawa Vijijini, hospitali wanapotibiwa na sidhani kama hata dawa zipo hapa:-

View attachment 104678

Kumbe si vijijini tu kwenye kero ya hudumaza Afya, Angalia hii hospitali ya Temeke Jijini DSM, akina mama walivyopangana wodini kama nyanya ndani ya Tenga:-

View attachment 104679

JE, TUTAFIKA......... TAFAKARi......

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!​

Maisha bora kwa kila Mdanganyika
 
Eti leo ukamwekee mgogo umeme kwenye nyumba yake ya tembe, hata hata sehemu ya kuweka mita yenyewe ni kizungumkuti, ha ha ha ha haaaah!
 
Uchumi wetu kwa asilimia kubwa unaendeshwa kwa kutegemea kililmo, huko ko vijijini. Lakini bila haya tumendelea kuwasahau na kuwazoesha wanavijiji kuwa wao kukosa nishati ya umeme ni haki yao..Hakika huu ni upofu mkubwa kuendelea kuwaacha wakulima wetu huko vijijini ndani ya giza nene...Ni lazima tuseme wakulima wa vijijini si wa kupelekea Solar pannel tu ambayo si sustainable wala nishati endelevu kulingana na uhalisia wa Solar zenyewe.
 
Umeme vijini haijaanza Leo ipo Miaka nenda ludi na Umeme haufiki ! Kuna baadhi ya vijiji vya wajanja umeme umefika cha msingi ni kuhakikisha huduma Muhimu Kama hospt Matrekta kuboresha kilimo miundo mbinu mashuleni madawati vitabu walimu wapate nyumba za kuishi nk kisha umeme vijijini ufike vijijni kwa Vitendo sio maneno matupu Kama ilivyo sasa !
 
habari wadau,
mdau nilikuwa nnaangalia kipindi cha futuhi, kinachorushwa na star tv , wamezungumzia swala la umeme vijijini ingawa ni kwa vichekesho lakini nnamimi ujumbe umefika. Wamesema umeme vijijini, nyumba zenyewe za nyasi je watakuwa na sifa za kuwekewa umeme?

Wameongezea kuwa ni bora wapewe kwanza mifuko ya sementi ili waboreshe kwanza makazi yao.
Wadau hapa kuna mambo yakujadili
1) makazi duni
2) kumudu gharama za umeme. E.t.c
je wakazi wa vijijini wameandaliwa kupokea huo umeme ambao serikali inaupigia chapuo

ni siasa yakutaka kutuhada na buku buku zetu
 
Nadhan asilimia kubwa ya mnaochangia humu mnaishi mijini ndiyo maana mnaona sawa siye wa vijijini kuendelea kukaa gizani. Nadhani umeme uje tu mbona huko mijini mpaka kwenye majiji kama dar kuna baadhi ya sehemu hakuna hata kituo cha afya. Cha ajabu mnatukazania siye wa vijijin eti tuletewe maji, hospital, kwan hiyo dar ina maji au mmeambiwa huku vujijin tunaugua kila siku. Tuleteeni umeme tumechoka kuishi gizani jamani.
 
Back
Top Bottom