Umeme umekatika nchi nzima?

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,728
Reaction score
1,214
Majira ya saa sita kasoro usiku maeneo ya hapa k'ndon mkwajun umeme ulikatika,m2 wa mwananyamala akanambia kwake pia umekatika,pia kuna m2 huko moro kasema umekatika,je hapo ulipo wewe umeme upo kwa usiku huu?
 
Bado Dowans hawajalipwa tu? Umeme utarudi wakilipwa.
 
Majira ya saa sita kasoro usiku maeneo ya hapa k'ndon mkwajun umeme ulikatika,m2 wa mwananyamala akanambia kwake pia umekatika,pia kuna m2 huko moro kasema umekatika,je hapo ulipo wewe umeme upo kwa usiku huu?

Uwoooo!! umerudi tayari!
 
Naija nchi naija. Nilikua naongea na mtu zenji nao ulikua umekatika
 
Itakuwa umerudi,lakini haina maana hautakatika tena.
 
Napata picha kwa nini wizara ya nishati iliukimbia ule mdahalo uliorushwa na star TV
 
Huku morogoro ulikatika baada tu ya mechi za Uefa na umerudi late sana,
 
huku kwe2 umekatika mara 3 usiku huu kaazi kweli kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…