sina hasira hata kidogo Asha D!Sasa FT1 hapa inaonesha wewe ndo mwenye hasira mkuu, kila ukiguswa washtuka, jiachie kidogo bana!
hapa ni full utani na Lizzy ni moja ya watu rational saana hapajamvini...
sisemi hivyo sababu ni partner hapana.. but ni mmoja wa waelewa sana
Alafu pleease in the future usifananashe one member with another
yaweza leta chuki kati ya members bahati nzuri saana mimi
na Lizzy tumeshibana... Sorry kama nitakua nimekuudhi sina nia mbaya..
sina hasira hata kidogo Asha D!
muda mwingine kusema ukweli inapendeza zaidi.
na sij
ui kwanini watu sometimes huwa wana criticise thread za wenzao lakini kwa thread hii kama mtu akikaa na kuisoma vizuri ina maudhui mazuri tu ndani yake.
lakini zikija baadhi ya thread kisa imeletwa na fulani hata kama haina mashiko hawata i criticize hata kidogo na watachangia kama kawaida
Asante Asha D, nanyamaza
(Hupendwi jamani mbona unalazimishaaaaa)?!
Owkey ngoja niwe muungwana.Kweli kabisa umeme ukikatika mengi yanaweza tokea mpaka mpate chemli au mshumaa na kiberiti kilipo.Ila tabia mbaya sana kukanyaga mboga alafu ukawaacha wenzio wale!
hahaaaa kwenye ID hii hunipendi
haya Bana
na hapo chini asante kwa kua Muungwana,
Ngoja nikupe na senks
Hana lolote huyo....
Duh
Hasira za nini kuwa kama Asha D, .
Sasa FT1 hapa inaonesha wewe ndo mwenye hasira mkuu, kila ukiguswa washtuka, jiachie kidogo bana!
hapa ni full utani na Lizzy ni moja ya watu rational saana hapajamvini...
sisemi hivyo sababu ni partner hapana.. but ni mmoja wa waelewa sana
Alafu pleease in the future usifananashe one member with another
yaweza leta chuki kati ya members bahati nzuri saana mimi
na Lizzy tumeshibana... Sorry kama nitakua nimekuudhi sina nia mbaya..
.
Sina hasira ila nataka uache kuleta thread zisizo na mantiki jamvini....kama umeme umekatika si uwashe chemli au kibatari?!.
Invisible na Mods ndo huwa wanajua kuwa thread haina mantiki, wewe ni Mwanachama tu, soma na changia, na kama umekwazika report kwa Invisible aiondoe, kwenye mabano hapo naomba nikupe quiz ya kusoma tena thread nadhani hukuelewa.
Sasa mi nakwambia najua...HAINA MANTIKI!! .
tutakupigia debe u pate U MOD .
[B said:Fellow Tablet[/B]1;2046526]sina hasira hata kidogo Asha D!
muda mwingine kusema ukweli inapendeza zaidi. na sij ui kwanini watu sometimes huwa wana criticise thread za wenzao lakini kwa thread hii kama mtu akikaa na kuisoma vizuri ina maudhui mazuri tu ndani yake.
lakini zikija baadhi ya thread kisa imeletwa na fulani hata kama haina mashiko hawata i criticize hata kidogo na watachangia kama kawaida
Asante Asha D, nanyamaza .
Hupendwi jamani mbona unalazimishaaaaa?!
Owkey ngoja niwe muungwana.Kweli kabisa umeme ukikatika mengi yanaweza tokea mpaka mpate chemli au mshumaa na kiberiti kilipo.Ila tabia mbaya sana kukanyaga mboga alafu ukawaacha wenzio wale!
.
sasa hii thread imekuwa ya mapenzi au kumbukumbu mbona na nyny mnakuwa hamjui kusoma majira na nyakat zake?
Hamfai kabisa mtoto wa watu kijasho kimenitoka kumbe mwanichezea!!!:frusty:
Nimewasambu....
USITUSAMBU, we need you!
ndio uzuri wa MMu hatutoani ngeu kama kulee...
Hahahha....partner unaogopa utadhani unapita uchochoroni mwenyewe bwana?!Relax!
Lizzy naona unachangia humu bado na ulikandia topic hii mwanzoni acha watu walete watakayo OK?