miss you too dearest,yaani najisikia uvivu kufikiri na kuandika,ndo maana nimeacha ile useful thread ya Gaga,nikaja huku umeme ulipokatika:biggrin1:
Kumbe nawe wapenda giza eeeh??? mwaga reasons hapa....lol:dance:
mmmmhhh ili mtu asinikariri nilivyo.....l.o.l:dance:
nimejitahidi....vipi nikupe mji utegue na wewe?:dance::dance:hahahahahah.... umetegua eeeh???:bange:
Fellow T1 asante dear kwa compliment...
ila naamini hakua na nia mbaya member aloongea hivyo
naona aliona imekaa kisoga zaidi...
Hata hivyo naona hamna lililo haribika..
hahahahahah..... Partner in crime....lol
Umeme ukikatika hunichanya kabisa maana hamna ninachopenda
hakiitaji umeme... basi hata akili inakua hajatulia fulani..
Partner tupige kambi hapa basi...
Duh
Hasira za nini kuwa kama Asha D,
Hata Mr anatumia umeme?
it was about 11 years ago, kweli nilikuwa mtoto.
Duh
Hasira za nini kuwa kama Asha D,
Sina hasira ila nataka uache kuleta thread zisizo na mantiki jamvini...(.kama umeme umekatika si uwashe chemli au kibatari)?!
Invisible na Mods ndo huwa wanajua kuwa thread haina mantiki, wewe ni Mwanachama tu, soma na changia, na kama umekwazika report kwa Invisible aiondoe,
kwenye mabano hapo naomba nikupe quiz ya kusoma tena thread nadhani hukuelewa.