Mh Bashe kaza buti kama Biteko Ili yale matatizo matatu tuondokane nayo kabisa
Niwashukuru Sukuma Gang kwa kutumalizia Mgao wa Umeme
Kazi kwenu Bashe ( sukari) na Mwigullu (Dollar)
Mungu ni mwema Wakati wote 😄
Wanashughulikia uhaba wa dollar
Ushakatika hapa kwangu.Mimi bado siamini kwamba mgao umeisha ,tuwape kwanza wiki moja mpaka mwezi,maana unaweza shangaa mnaletewa excuses nyingine.