Wenzetu wanachukua hatua, sisi tunaishi na tatizo!Rais wa Afrika ya Kusini ameshalitangazia Taifa hilo kubwa kuwa sasa Umeme umekuwa janga la Taifa na Mamlaka za kushughulikia majanga zimeanza kufanyia kazi hali hiyo ili kulinusuru Taifa hilo kutokana na madhara ya kukosekana kwa umeme...
UmetumwaHali ni mbaya mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia makaa ya mawe imechoka, haijapata ukarabati wa kutosha, umeme umekuwa ukitolewa kwa mgao wa kikanda.
Tushukuru Tanzania na Kiongozi wetu Mpendwa Dk Samia hali ni ya utulivu na kila inapotokea changamoto ya umeme hatua zinachukuliwa. Tanzania tumebarikiwa. Hongera sana Dk. Samia kwa Uongozi uliotulia na makini.
Nimekupenda kionambali wangu ...mimi nimeshangaa direct flight from SA to PembaYani shida ni uchawa maana aya ya mwisho ndio lengo kuu la uzi wako.
Huyo ametafutia tu gia ya kuonyesha uchawa wake.Nimekupenda kionambali wangu ...mimi nimeshangaa direct flight from SA to Pemba
Yes mbaya zaidi chawa hawajapata mafunzo namna ya kushawishiHuyo ametafutia tu gia ya kuonyesha uchawa wake.
Kwakweli Wasouth hasa weusi wengi hawana akili.Wanaiba na kuharibu miundombinu wenyewe