U ubarinolutu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 2,711 Reaction score 5,641 Sep 12, 2022 #1 TANESCO tujuzeni, kila mkoa ukiuliza nini shida mbona umeme unakatika sana kipindi hiki, wanasema "Lodi shedingi". Wizara toeni kauli tukanunue jenereta.
TANESCO tujuzeni, kila mkoa ukiuliza nini shida mbona umeme unakatika sana kipindi hiki, wanasema "Lodi shedingi". Wizara toeni kauli tukanunue jenereta.
UMUGHAKA JF-Expert Member Joined Sep 1, 2021 Posts 3,104 Reaction score 14,258 Sep 12, 2022 #2 ubarinolutu said: TANESCO tujuzeni, kila mkoa ukiuliza nini shida mbona umeme unakatika sana kipindi hiki, wanasema "Lodi shedingi". Wizara toeni kauli tukanunue jenereta. Click to expand... Mabwawa yamekauka
ubarinolutu said: TANESCO tujuzeni, kila mkoa ukiuliza nini shida mbona umeme unakatika sana kipindi hiki, wanasema "Lodi shedingi". Wizara toeni kauli tukanunue jenereta. Click to expand... Mabwawa yamekauka
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Sep 12, 2022 #3 Umetumia takribani ya luku yako