Umemchoka mwanaume omba talaka

Kama hiyo familia haikupi furaha Ni afadhali ukasepa tu.
Kuishi kwa stress kunakuongezea magonjwa mengine ambayo hata hayakutakiwa kujitokeza.
Ukipata na ya akili ndio unaua kabisa.
Aafu kuchunguzana siku hizi sio feasible kabisa.
Imagine, nimekutana na wewe kwenye semina ya namna ya kutumia condom Arusha.
Unafanya kazi ntwara na Mimi ulanga.
Tukaendelea kuwasiliana na mapenzi yakakolea hatimaye uchumba.
Muda mwingi Ni simu tu ndio kukutana kwetu.
Few moments tunakutana physical in 3 years.
Utasema umenichunguza na kunijua vya kutosha!?
 
Kwamaana yako ni kwamba mwanamke ndio anapaswa kuwa mvumilivu kupita kiasi si ndio???????
Mkuu, viumbe wote wa kiume Ni bulling in nature.
Na viumbe wa kike wanajisikia safe kuwa na mwanaume mbabe.
Sasa mwanamke usipojifunza kuvumilia kuliko mwanaume hiyo ndoa haidumu.
Kama umeolewa jiulize, Ni makosa mangapi mumeo kayafanya ukamsamehe ila yeye huwa anakusamehe kwa manati?
 
Is that something to be proud of? Mxiiieewww
 
...BIG NO, Rebecca...[emoji35]
 
Umeandika as if wanaume hawachepuki kabisa

Hebu acha kuegemea upande mmoja basi....wanaume wanachepuka zaidi ya wanawake!

Tena siku hizi ndio wameanza kuona kama ni haki yao kumiliki mchepuko

Hata sisi hatupendi unafki​
Nakubaliana na wewe ila usiwe na mawazo potofu ya kulipiza kisasi kwa kuchepuka. Maana hapo ndipo mapanga hutamalaki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…