..Hiyo kitu hapo inaweza kuwa zao la biashara endapo; litalimwa kwa ajili ya nyuzi zake; zinatumika kutengeneza mikoba na vitambaa kwa ajili ya viatu na nguo. bidhaa hizo ni ghali sana. Cha kufanya, serikali inaagize mbegu ambazo hazina "opium"; wanagawiwa wakulima na kulima; hivyo haitatumika kwa kuvuta. mbegu hizo zipo!! Njia nyingine ili kuuza kama zao la biashara katika viwanda vya kutengeneza madawa kama ilivyo kuwa zamani kabla ya kugundua mazao ya "petroli"; ambayo hivi sasa ndiyo yanatumika ktk viwanda vya madawa ni nchii kuomba kibali cha kimatafifa; hivyo kulimwa na kusimamiwa kimkataba na serikali.... VINGINEVYOO TUNATUMIA NGUVU NYINGI LAKINI KILIMO KINAENDELEAA TUU.