Umelazimishwa

Jk aka sharomagogoni zake ni yooo..yooo...yooo
Au zile za Tatizoo kwetuu Msogaaaaa, mbele shamba nyuma barabaraaaa...yoooo...yooo.yoooooooooooo
 
Hivi hizo pin/sindano ni disposable? Au huwa wanazi sterilize? Maana naona mchoraji kajikinga kwa gloves wateja je?

mmh hata sijui kwa kweli ila nadhani huwa zinatolewa na kuwekwa nyingine...
 
si mnajifanya vidume mara ya kwanza mmemzalisha kwa kumbaka,sasa anajihami mnasema hatari nendeni sasa na vidushelele vyenu.
 
Sasa atakapotaka yeye itabidi aende mitaani kutafuta, maana wasomaji risala hawawezi kupata ujasiri kusogelea mbele ya mtutu huo.
 
Ingewekwa ya JK anacheza mziki ingekua NONGWA,, ooh! hajali watu wanakufa,, yeye anacheza mziki na mkewe tu!!
Mna jema nyie!!!??,, kama lile dude maji linalofanyiwa operesheni,, likiekwa mbele linasema UNANITIA AIBU,, likiwekwa kati OOH! UNANIBANA,, basi kaa nyuma OOH! UNANIDHARAU..... ilimradi kaaaazi kweli kweli
 

magamba blood
 

Huyo anayecheza hapo ni Mwanaume baada ya kufanya kazi!! siyo huyo wa kwenu anacheza na kazi hafanyi!! Shame on Him!!
 
mbona atakuwa yuko training mexico huko,kwani vitu huwa vinampita yule bro
 
wa kwetu amezoea viuono si haya mambo ya kidhungu.
 
True freedom fighter, Sio hawa Malaysia wa siku hizi.
 
michezo iko mingi nadhani huu haujui
anajua ule wa kiafrika:nerd::nerd::nerd:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…