Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,846
- Thread starter
- #21
he he he he mimi huwa napenda kweli hizi post za mapenzi,naombeni kuuliza mimi nimeolewa nina miaka kama kumikwenye ndoa yangu nina mtoto mmoja,kama kawaida kuna kutokuelewana wakati mwingine kwenye ndoa kuna wakati tuliwahi kukaa miezi mitatu bila kutimiza swala la ndoa na mume wangu baada ya muda akaninunulia toy la kujitimizia mwenyewe haja zangu kama zawadi,nimeuliza kwa wana ndoa wenzangu wakasema hivyo si swa kabisa kwa nini anipe wakati yeye yupo labda tungekua tunakaa mbali mbali,kweli wana jamii hilo munalionaje mumeo upo nae ndani anakuletea hiyo zawadi wakati yeye yupo upo nae ndani na wakati huo huo muda muda mrefu hajakuudumia??unajaribu kufanya kila njia aone unaitaji hilo,hapo hapo unahisi ana uhusiano wa mapenzi na mwanake mwingine maana hata ratiba zake huzielewi mara katoka kachelewa kurudi mara hapokei simu,nisaidieni wenzangu labda naweza pata jambo kusave ndoa yangu,
...kuna kila dalili mahusiano/ndoa hii uliyumba wakati fulani...
nampenda sana mume wangu na sitaki kumpoteza
...inaonesha tayari 'ushampoteza'.