Umelalaje?... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umelalaje?...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Mar 20, 2009.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  View attachment 3931

  ...ulalaji wenu ni uthibitisho tosha juu ya ubora/udhaifu wa mahusiano yenu!
  ni juu yako kuzidi kujenga, au kuendelea kubomoa,

  shauri yako! :(
   
 2. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mmmmm, kama umelala peke yako.. u dont qualify for any of these! kwi kwi kwi
   
 3. kui

  kui JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2009
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 6,478
  Likes Received: 5,146
  Trophy Points: 280
  Awwww!

  They're both qute, ila ya mwisho...
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...yawezekana pia, ila kwa posse hizi za kulala waweza jua mwelekeo wa 'uchumba' kabla hujajitumbukiza kwenye pingu ya maisha vile vile :D

  'udugu wa shuka ndani ya chandarua', ha haa ha
   
 5. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Duh ile ya mwisho kweli kiboko
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ndio maana yake! ...hatua inayofuatia baada ya hapo ni kulala kwenye sofa sebuleni, kuliko adha za kitanda cha ndoa...!
   
 7. K

  Kima Member

  #7
  Mar 21, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  he he he he mimi huwa napenda kweli hizi post za mapenzi,naombeni kuuliza mimi nimeolewa nina miaka kama kumikwenye ndoa yangu nina mtoto mmoja,kama kawaida kuna kutokuelewana wakati mwingine kwenye ndoa kuna wakati tuliwahi kukaa miezi mitatu bila kutimiza swala la ndoa na mume wangu baada ya muda akaninunulia toy la kujitimizia mwenyewe haja zangu kama zawadi,nimeuliza kwa wana ndoa wenzangu wakasema hivyo si swa kabisa kwa nini anipe wakati yeye yupo labda tungekua tunakaa mbali mbali,kweli wana jamii hilo munalionaje mumeo upo nae ndani anakuletea hiyo zawadi wakati yeye yupo upo nae ndani na wakati huo huo muda muda mrefu hajakuudumia??unajaribu kufanya kila njia aone unaitaji hilo,hapo hapo unahisi ana uhusiano wa mapenzi na mwanake mwingine maana hata ratiba zake huzielewi mara katoka kachelewa kurudi mara hapokei simu,nisaidieni wenzangu labda naweza pata jambo kusave ndoa yangu,nampenda sana mume wangu na sitaki kumpoteza
   
 8. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pole sana dada, hupo peke yako tuko wengi tuu wa aina yako. Pengine nikuulize tuu. Kazi yake nini hasa...ukishindwa nijibu hapa ingia kwenye PM tulonge zaidi.
   
 9. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Duh! Hizi kali!
   
 10. Violet

  Violet Member

  #10
  Mar 21, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni mzungu sio kitu cha kushangaza. Kutumia toy, haina maana huhitaji mwanamme, bali utamwitaji zaidi. Mwanamme ana joto, perfume n.k Na inategemea toy gani, kama ni vibr......., ni vitu 2 tofauti na mwanamme.
   
 11. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Pole kwa hali hiyo shosti na vizuri unajua ndoa zina raha na karaha zake! Mumeo ni mtasha(mdhungu)? Maana kukupa toy wakati yeye yupo sijui atakuwa alimaanisha nini hata kama ni zawadi na mnaishi nyumba moja?!
  Ulimuuliza kwa nini amekununulia zawadi aina hiyo? Pia ni vizuri umeonyesha una nia na kuipenda sana ndoa yako, naamini ukidhamiria na kuweka jitihada utaisave ndoa yako. Muhimu na kubwa zaidi ni kuongea na mume wako!
  Kumbukeni mlipoanza mapenzi,kumbushaneni vitu gani hampendi wote au vitu gani mnapenda kufanyiana lakini siku hizi hamfanyiani.
  Mwambie jinsi unavyomuhitaji kindoa zaidi hata kama anachoka na kazi! Ila tafuta muda muafaka kwenu muongee mamii..
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tehe tehe tehe eti Toy tehe tehe tehe tehe tehe tehe hilo Toy lilikushibisha? kama linakutosheleza endelea nalo bibie kima.......ila jua huwa nasikia linanyambulisha uke yaani ukitumia kwa muda uke unasambaa unakosa radha hata kuuangalia....
   
 13. K

  Kima Member

  #13
  Mar 21, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si mzungu,mweusi aliazaliwa ushwahilini haswa,haya mambo ya kizungu tena analeta wakati huu hakuyaleta wakati tupo wachumba maana tumekua pamoja zaidi ya miaka mitano kabla ya kuoana,Penny anafanya kazi ya kawaida na ya kueleweka si ya kuchosha kiasi hicho,ni receptionist kwenye hoteli ya kitalii
   
 14. K

  Kima Member

  #14
  Mar 21, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Belinda asante mwenzangu naipenda sana ndoa yangu,na ninampenda sana sana mume wangu kwa moyo wangu wote,sitaki kuipoteza,sikumuliza kwa sababu gani amenipa maana nilishangaa na kukasirika ila sikutaka kumuuzi na nilikua na ukame nikadhani labda ushamba wangu niulize kwanza japo niliumia sana sana,mpaka hii leo sijamuliza maana nilijaribu kutumia mwenyewe siku hiyo nilipata feelings lakini siku enjoy kama kitu halisi,
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Talk to him...Zungumza naye!!
   
 16. 4X4byfar

  4X4byfar JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2009
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana dada, pengine anamatatizo mengine ya ki saikologia zaidi. Cha msingi ongea naye na ikishindikana ongea na watu wanaoweza kuwapa ushauri zaidi (kanisani, wazazi, washenga etc).
   
 17. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hee, makubwa basi kakuchoka huyo, kwa nini akuletee toy! kwani yake haifanyi kazi. Duh, ingekuwa mimi...angejutaaaaa kunifahamu! ningelikuwa na wangu tayari wa kuniburudishaaaaah! kwa nini nijisumbue my head while life is too short.
   
 18. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Cha muhimu kabisa ni kuongea nae! Hapo ndo itakuwa mwanzo wa kutatua matatizo mengine kama yapo. Mawasiliano muhimu sana kwenye mapenzi...
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ohhh kumbe uko hivyo duuu Shankupele.....umejuaje kamchoka? Kama ungempata basi huyo...
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Contradictory remarks dada Penny!
   
Loading...