Umelalaje?...

he he he he mimi huwa napenda kweli hizi post za mapenzi,naombeni kuuliza mimi nimeolewa nina miaka kama kumikwenye ndoa yangu nina mtoto mmoja,kama kawaida kuna kutokuelewana wakati mwingine kwenye ndoa kuna wakati tuliwahi kukaa miezi mitatu bila kutimiza swala la ndoa na mume wangu baada ya muda akaninunulia toy la kujitimizia mwenyewe haja zangu kama zawadi,nimeuliza kwa wana ndoa wenzangu wakasema hivyo si swa kabisa kwa nini anipe wakati yeye yupo labda tungekua tunakaa mbali mbali,kweli wana jamii hilo munalionaje mumeo upo nae ndani anakuletea hiyo zawadi wakati yeye yupo upo nae ndani na wakati huo huo muda muda mrefu hajakuudumia??unajaribu kufanya kila njia aone unaitaji hilo,hapo hapo unahisi ana uhusiano wa mapenzi na mwanake mwingine maana hata ratiba zake huzielewi mara katoka kachelewa kurudi mara hapokei simu,nisaidieni wenzangu labda naweza pata jambo kusave ndoa yangu,

...kuna kila dalili mahusiano/ndoa hii uliyumba wakati fulani...

nampenda sana mume wangu na sitaki kumpoteza

...inaonesha tayari 'ushampoteza'.
 
...,naombeni kuuliza mimi nimeolewa nina miaka kama kumikwenye ndoa yangu nina mtoto mmoja,...
si mzungu,mweusi aliazaliwa ushwahilini haswa,haya mambo ya kizungu tena analeta wakati huu hakuyaleta wakati tupo wachumba maana tumekua pamoja zaidi ya miaka mitano kabla ya kuoana,...

...kwa maana hii, mshakaa pamoja miaka zaidi ya kumi na tano!?
You should've known better mamie...

haya, ...je kwenye kulala nako, posse gani ndio ulalaji wenu, nikupe ushauri wa kufanya?
 
he he he he mimi huwa napenda kweli hizi post za mapenzi,naombeni kuuliza mimi nimeolewa nina miaka kama kumikwenye ndoa yangu nina mtoto mmoja,kama kawaida kuna kutokuelewana wakati mwingine kwenye ndoa kuna wakati tuliwahi kukaa miezi mitatu bila kutimiza swala la ndoa na mume wangu baada ya muda akaninunulia toy la kujitimizia mwenyewe haja zangu kama zawadi,nimeuliza kwa wana ndoa wenzangu wakasema hivyo si swa kabisa kwa nini anipe wakati yeye yupo labda tungekua tunakaa mbali mbali,kweli wana jamii hilo munalionaje mumeo upo nae ndani anakuletea hiyo zawadi wakati yeye yupo upo nae ndani na wakati huo huo muda muda mrefu hajakuudumia??unajaribu kufanya kila njia aone unaitaji hilo,hapo hapo unahisi ana uhusiano wa mapenzi na mwanake mwingine maana hata ratiba zake huzielewi mara katoka kachelewa kurudi mara hapokei simu,nisaidieni wenzangu labda naweza pata jambo kusave ndoa yangu,nampenda sana mume wangu na sitaki kumpoteza

sasa kuleta hilo lidude ni kwamba yeye hataki/hana hamu tena ya ku sex na wewe ndio akaakuamua atumie njia hiyo? ninavyijijua nicngeweza kuvumilia kutokumuuliza, ningemuuliza na anipe jibu la maana halic ya kuniletea hilo dude, kama haiwezekani tena kusex na yeye aniambie kuliko kuniletea ma toy ndani ya nyumba, loo ndoa zina mambo aisee.
 
...kuna kila dalili mahusiano/ndoa hii uliyumba wakati fulani...

...inaonesha tayari 'ushampoteza'.

miaka 15 kusiwe na kuyumba japo kidunchu?ambae ndoa yake haijawahi kuyumba kwa namna moja au nyingine na ajitokeze, umejitahidi na unania na mumeo mami ndio mana na vituko vyote bado una mvumilia na kumpenda kwa moyo wako wote, miaka 15 c midogo kwa ndoa za cku hizi,loooo! hujampoteza bado na wala uckate tamaa kwa ushauri wa watu, nahic unamuogopa sana mumeo kiac cha kwamba unashindwa kuhoji mambo, kuwa free kaa nae chni uongee nae, kama wako wako tu no matter wat, wanatufanyiaga vituko hawa na wanajirudi wenyewe pale utakapomuonyesha kwamba na wewe huna time ya kuhojiana na mtu mzima kila kukicha but kwa ishu yako hii mami muweke kitako huyo akueleze maana ya kukuletea hilo dude ndani, hata ukilitumia huta feel kama unavyo feel uki duu nae, kwanza ningeshalitupa cku nyingi.
 
sasa kuleta hilo lidude ni kwamba yeye hataki/hana hamu tena ya ku sex na wewe ndio akaakuamua atumie njia hiyo? ninavyijijua nicngeweza kuvumilia kutokumuuliza, ningemuuliza na anipe jibu la maana halic ya kuniletea hilo dude, kama haiwezekani tena kusex na yeye aniambie kuliko kuniletea ma toy ndani ya nyumba, loo ndoa zina mambo aisee.

...bado sijaona ubaya wa toys, zaweza 'spice-up' mambo kama kina mama wanavyojifukiza udi, chachandu tosha kiunoni, vikuba, asumini kitandani na katika hayo... Ingekuwa Toys zenyewe kaletewa na hawara kweli, lakini kaletewa na mumewe kwa faida ya ndoa yao halafu yeye mbio mitaani kuwatangazia majirani na mashoga, huoni hapo ni kumdhalilisha tu mumewe?

Wanawake wengine bana.

...kutotaka ubunifu ndio kunakosababisha waume zenu kushangaa wakiwa nyumba ndogo, kwakuwa mkewe hajui kuvaa utunda, au hana hata kitaulo/ kileso cha kumfutia mumewe, yeye na shuka tu!

Baada ya miaka kadhaa pamoja, ubunifu mpya kusaidia kuamsha hisia ni bora kuliko kuwa retarded na njia hizo hizo miaka nenda rudi, tena kama ni mkweli wa nafsi, wengi wanaocheat huanza baada ya low sex drive (due so several factors) na kukosekana ubunifu katika tendo la ndoa ili kujikumbushia ashki zileeeeeeeee za mwaka 47!
 
Its true sleeping patterns and postures have a lot to tell among lovers, even the walking trend and positions too, tells a lot of the relationship status and conditions to outsiders, plus many other indicators of course. It awesome and great.
 
Huyo bwana nadhani hilo toy alikuwa anapeleka kwingine; na bahati mbaya alipojikuta yuko home akajidai amekuletea. Kwani amewahi kuuliza unajisikiaje ukitumia hilo toy? Kama aemwahi kukuuliza basi ni kweli la kwako na unahiyari sasa kusuka au kunyoa , na kama hajawahi kukuliza basi mimi niko sahihi-halikuwa lako-kachemsha
 
...:D inanikumbusha 'mlugaluga' aliyepigwa na butwaa mkewe alipompa uwazi na ukweli "...wenzio wailamba lamba hiyo!" ...kila akijivunga kwenda (chumvini).

achilia TiGo, kumbe kuna mengi hayafai kujaribu na mkeo eeh?
 
katika mambo yawezayo kuathiri usingizi wako, ndoa yako na hata maisha yako;

1. mwenza mpiga mateke usingizini
2. mwenza mkoromaji
3. mwenza msema hovyo usingizini
4. mwenza mtembeaji usingizini
5. mwenza mvuta shuka :D

View attachment 4071

..."ulitakalo hupati, wapata ujaliwalo!"
 
..."ulitakalo hupati, wapata ujaliwalo!"
fumbua basi fumbo lako...maana umeniacha ndugu!
 
..."ulitakalo hupati, wapata ujaliwalo!"
fumbua basi fumbo lako...maana umeniacha ndugu!

...hello Penny, nice pic,..baridi haijapungua huko? ...umepotea siku mbili tatu hizi... kwani msemo huo unaugumu gani kuufumbua jamani? soma tena;

-Unalolitaka -hupati, -unapata -unalojaaliwa!

umeelewa? ...hata upate mume/mke mzuri wa kila kitu, bado atakuwa na kasoro zake.
 
Thanks for the compliments and the tafsiri, siunajua tena lugha hii ngumu hata kama ndo nimekuwa nayo. Isitoshe nilikuwa nafeli sana somo la kiswahili shule...ukija kwenye mafumbo ndo kabisa uminiacha yani. Huku mwenzangu baridi mwaka huu imetunyanyasa kweli...spring inatupita bila hata a flower yani.
 
wanawake msizoe kutumia toys inanyambulisha K zenu.....zinasambaa na kukosa radha
 
...waala usijali, hata mie kiswahili nimekijua kiundani baada ya kuishi na waswahili, Unguja! View attachment 4072

...na hii weather, April inaingia baridi bado ipo ipo tu, vipepeo, manyigu na madondola watakoma mwaka huu, wasubirie June-July kuchavusha maua,
...eti Global Warming!​
 
wanawake msizoe kutumia toys inanyambulisha K zenu.....zinasambaa na kukosa radha

inategemeana na toy gani... mfano; mini butterfly, vibrating shells, au venus lips zitanyambulishaje nanihii, unless una abuse matumizi yake! tumieni kwa kiasi tu, sio kila siku wewe na 'maisha msisimko'.
 
Mbu!
Tukikorofishana na mchuchu tunalala mzungu wa nne sasa hii si kazi jamani? Tena hata hamna kugusana,kila mtu na kona yake ya kitanda mbaya zaidi ni 6by6..
I wish haya mapenzi yasingekuwepo muda mwingine! au ningekuwa nun japo ni wito..
 
Last edited:
Mbu!
Tukikorofishana na mchuchu tunalala mzungu wa nne sasa hii si kazi jamani? Tena hata hamna kugusana,kila mtu na kona yake ya kitanda mbaya zaidi ni 6by6..
I wish haya mapenzi yasingekuwepo muda mwingine! au ningekuwa nun..

...pole sana Belinda, hiyo ya bora ungekuwa Nun mnh, haijatulia. :D ungestahmili vipi na kiu, maana wale nao naamini wana 'wish' wangekuwa kama sie,... muhimu ni kuepuka tu mikwaruzano ya hapa na pale.

...Raha ya hizo nchi zenu ambako summer ni kwa mgao, hata kama tanda ni 6"6 wewe zima heater tu, halafu muone kama Duvet pekee litamtosha! ...atakusogelea mwenyewe mpatiane "kumekucha jama kumekuchaa, majogoo wa vijijini wanawikaa, wazalendo amkeni, mfanye kazi sassaaa!"
 
We acha tu tatizo distance btn us mpaka nahisi naibiwa akiwa Tz maana hii style ya kulala amekuja nayo yeye siku moja tu tumekwaruzana hee! nikashangaa ntasha wa nne style. Last year na previous tulikuwa tukimeet na kiu zetu wiki nzima mdundiko labda anikute bungeni.
Sometimes naishia kusema 'kwani imeumbwa kwa ajili yangu peke yangu' kama namna kukata tamaa. Sasa tukioana si mmoja ataingia chini ya uvungu wa kitanda ilhali kuna carpet ataona comfortable zaidi kuliko kitandani.
Ila naamini changamoto ni part of malavi davi,njia nzuri ni kusolve tatizo siyo kulikimbia/epuka.
 
Unafanya ngono na hamjafunga ndoa......mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom