Umelala na wangapi nje ya ndoa yako tukielekea 2012???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Umepata soln yoyote
na je kama siyo unaweza hisi njia mbadala ya kuweka hapa kusaidia ambao wako njiani kufwata mkumbo huo
na kama ndio unaweza tusaidia kuelekeza njia ulizotumia kuweza kutatua matatizo yako kupitia nyumba ndogo
na kama bado
nakushauri usijaribu

usiku mwema na happy new yr
 
Swali lako umelielekeza kwa wa'baba or wa'mama ? Nawaulizia tu! Mi naendeleza libeneke navyutwavutwa hapa nitoe haki za wenyewe.
 
Mkuu ukikuta foleni tankibovu sio unatafuta guest na wewe unshuka kwenye gari unaanza kuchapa lapa
fyatua baba
 
Mh mi niko single jamani...labda km tunahusishwa tujue....ila ngoja tupite tu
 
mie nina marcopolo 2 zimeshona hadi mlangoni.
Nifuate wapi zawadi yangu?
 
ngono nje ya ndoa sio ishu, fikiria na wewe wife wako or husband wako akusariti then ukagundua utajisikiaje? hata kama bado kuoa au kuolewa
 
swali lako umelielekeza kwa wa'baba or wa'mama ? Nawaulizia tu! Mi naendeleza libeneke navyutwavutwa hapa nitoe haki za wenyewe.
wewe wajua hukumu ya ilo kosa?? Kupigwa katika pum...b.. Kwa kutumia part ya mchongoko wa kiatu cha shemej.. Du kazi kwelikweli endelea...
 
ngono nje ya ndoa sio ishu, fikiria na wewe wife wako or husband wako akusariti then ukagundua utajisikiaje? Hata kama bado kuoa au kuolewa
mi stomind kitu kwan zile naniino... Si sabuni kwamba zitaishilia zikiwa used, imani tu za kichoyo izo...
 
kuna faida na hasara zake mdau,ila hasara ndo nyingi na kuporomoka kwa shilingi huku ndo husithubutu,njia salama ni kuvunja ukimya na mwenzio sema nae ili muende katika mstari mmoja kutoka nje sio ufumbuz ni kujiongezea mzigo na matatizo,ni mtazamo
 
ngono nje ya ndoa sio ishu, fikiria na wewe wife wako or husband wako akusariti then ukagundua utajisikiaje? hata kama bado kuoa au kuolewa

ukitaka kuishi kwa amani usiwazie sana mambo ya kusalitiwa maana iwe imeliwa na mwingine au la, ladha yake huwa iko palepale. Ni kama unavyoenda kula supu, utamu na ladha ya supu haibadiliki uwe wa kwanza kuinywa au wa mwisho
 
Back
Top Bottom