Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,487
- 3,371
Hizo zinaitwa nyanya pori, ni chachu kuasi nzur kwa kupikia hasa mchuzi kama samaki na nyama
Sawa mkuu maana nimefatilia sijapata majibuHii kitu inasemwa semwa lakini sina ushuhuda kamili
Aisee ipo siku nitajaribu tuu kulalekiUshuhuda ni ngumu kwakuwa ili ithibitike ni lazima mtu afe au apone[emoji3]
Hahah liwalo na liwe tu[emoji15][emoji15][emoji15][emoji2]please hapana majibu yakiwa positive kifuatacho ni maombolezo
Sawa mkuu nitaleta mrejesho hapa soonDuh.. Nakuombea sana!