Umekula tunda gani leo?

Mku
Ni tunda la msimu kula tani yako..hakuna shida kiafya lakini kiimani tunafundishwa kuwa na KIASI kwenye kila kitu...Madhara mengine labda kuvimbiwa[emoji23]
Mkuu kwa mwenye kisukari asithubutu kula nanasi wala ndinzi mbivu. Na akitaka kujua madhara yake na apime sukari Kisha ale ndizi kipande kidogo tu,Kisha baada ya dakika 5-7 toka ale apme Tena aone hali ipoje.
 
Aah kumbe . [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…