Umekosea namba... Sawa! Sasa kwanini unalazimisha mapenzi na mtu usiyemjua?

ahaaaaaaa vicheche mbona rahisi tu ukishapata namba yake,,kama upo vizuri kwanza unatuma pesa hata buku kumi,au kama vipi unampigia kuonesha umekosea namba ila unakuwa unaongea sexy mpaka yeye hapati hamu ya kukata simu
 
Mie bwana kuna jitu hivyo hivyo. Likawa limeniganda mpaka basi. Kama miaka 5 iliyopita nikiwa chuo. Mpaka nilikosa raha. Nikajua ni michezo ya chuo, kila nikijaribu kuchunguza wapi.

Siku ya siku akanitumia namba, nikapiga ile namba kumbe ya mchumba wake na alikuwa anamsubiri wapate dinner. Nikamwambia yote kwa uchungu.

Kumbe bwana walikuwa wafunge ndoa the following week...... bi dada akavunja uchumba.

That man swore angenitoa msukule.
Simjui but he really stressed me.

Uongo mwingine bana
 
Mbona sisi tulipokuwa chuoni miaka hiyo huo ndio ulikuwa mchezo wetu wa kujipatia mademu??
Kila siku baada ya kitabu utatukuta na kalamu na karatasi nikujaribisha namba yoyote ya kubuni, ukisikia sauti ya mdada unakomaa nae, kama ni sauti kama yangu unakata simu fasta.
Ujana una mambo mengi ya kijinga sana!
 
Nyingi ni planned na mie enzi za ujana nilizifanya sana na zilijibu.Nilitumia njia mbalimbali moja wapo yakutuma vocha


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
this-guy-deserves-a-medal-68.jpg
 
"kukosea namba" ni zaidi ya mnavyodhani.. Mjini kuna mipango mingi sana.
Kwli kabisa kuna waliopoteza maisha kwa kuhisi wanatafutwa sababu ya mapenzi. Na wengine wamepoteza au kuibiwa vitu vya thamani. Hivyo kuwa mwangalifu kujibu hizo wrong number , wanatumia lugha hiyo ya mapenzi kwa kuwa ni njia rahisi ya kuwanasa wengi.
 
Hawakosei namba wala nini...Mbona hawapigi Polisi ama Faya kwa bahati mbaya?

hahahaaaaa!! kuna jamaa alipiga simu voda na kujifanya kakosea namba!

eti ooh, nilikuwa namtafuta Excel, sorry!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom