Umekosea namba... Sawa! Sasa kwanini unalazimisha mapenzi na mtu usiyemjua?

hata mimi kuna mdada alikoseaga namba....yaani kwa ule ustaarabu wangu tu aliponibeep nikampigia nikamfahamisha kuwa amekosea namba...baada ya dk kadhaa akanibeep tena...nikaongea naye..si alitaka kunijua kidogo...mara eti akaanza kutuma msg za mapenzi...from no where at all... kama JINI vilee

Mi nawataka sana hao wanaokosea namba halafu wanalazimisha mapenzi
 
Bahati ya mwenzio.....lakini huwezi jua, kuna mtu humu alidai dada alikosea namba wakati anaita taxi ili aende Airport coincidentally njemba aliyepokea simu naye alikuwa anaenda Airport na kwa kuwa bado alikuwa na muda mwingi akaamua kwenda kumpitia mdada wakaenda wote Airport na kwa bahati wote walikuwa wanaenda Mwanza. Basi wrong namba ikazaa mahusiano na mahusiano yakazaa ndoa. Na jamaa alidai mdada kaumbika na tabia pia ni ya hali ya juu. Huwezi jua mipango ya Mungu.Kila la heri

Last edited by a moderator:
ahaaaaa muda mwingine siyo kwamba kakosea namba,,huwa huyo mtu anatafuta namba yako na anaingia kwa gia hiyo ya kukosea,,ila kwa wanawake vicheche ndo wanakamatwa vizuri ila ukiwa unajiheshimu wala haupati tabu,mjini hapa namba za madem zinanunuliwa!!!
 
Vicheche wanakamatwaje mkuu?
ahaaaaa muda mwingine siyo kwamba kakosea namba,,huwa huyo mtu anatafuta namba yako na anaingia kwa gia hiyo ya kukosea,,ila kwa wanawake vicheche ndo wanakamatwa vizuri ila ukiwa unajiheshimu wala haupati tabu,mjini hapa namba za madem zinanunuliwa!!!
 
BAK nimevutiwa sana na hii story!

Kweli kuna wengine wako serious na hizi mambo!
Bahati ya mwenzio.....lakini huwezi jua, kuna mtu humu alidai dada alikosea namba wakati anaita taxi ili aende Airport coincidentally njemba aliyepokea simu naye alikuwa anaenda Airport na kwa kuwa bado alikuwa na muda mwingi akaamua kwenda kumpitia mdada wakaenda wote Airport na kwa bahati wote walikuwa wanaenda Mwanza. Basi wrong namba ikazaa mahusiano na mahusiano yakazaa ndoa. Na jamaa alidai mdada kaumbika na tabia pia ni ya hali ya juu. Huwezi jua mipango ya Mungu.Kila la heri

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
hii tabia kwa utafit mdogo tu, hua hawakosei isipokua ni mtu tayari anakufaham kwa kina na anakua kapewa namba na mtu anaekufaham either x -girlfriend /boyfriend wako au mtu uliewahi kudate nae,,, hvo hakuna kukosea na kama mtu kakosea namba kweli hawez endelea kuwasiliana na wewe kwa kua hana concern mission kwako tena zaidi atakuomba msamaha kwa usumbufu basi yanaisha!!!!!
 
Haya mambo mimi nilikua mpenzi wa kucheki music Xpress every friday nights kwa kujiburudisha na sometime kutuma request ya wimbo kumbe kuna mademu wao kazi nikucheki watu watakao andika maeneo walipo. mf ( mimi Mike from makongo niwekee wimbo wa 50 cent... ) sasa kama yeye yupo makongo na namba yako inapita kwenye screen wanaandika then wanakutext. utaona nimeona namba yako kwenye TV na mimi nipo makongo naitwa Jane naomba tufahamiane . Kusema ukweli wapo nilioonana nao na baada ya kukuta ni kama kabiashara fulani hivi nikapoteza interest ya requests.

so hili ni swala la technologia na wengine kujaribu bahati zao/biashara/malengo yao. Mimi dawa ni kutopokea namba yoyote nisiyoijua na ikiendelea kuita naiweka kwenye reject list hatanipata tena.
 
Mkuu kwani ukituma request za kuomba music kwenye stations huwa mnataja na namba zenu za simu?
Haya mambo mimi nilikua mpenzi wa kucheki music Xpress every friday nights kwa kujiburudisha na sometime kutuma request ya wimbo kumbe kuna mademu wao kazi nikucheki watu watakao andika maeneo walipo. mf ( mimi Mike from makongo niwekee wimbo wa 50 cent... ) sasa kama yeye yupo makongo na namba yako inapita kwenye screen wanaandika then wanakutext. utaona nimeona namba yako kwenye TV na mimi nipo makongo naitwa Jane naomba tufahamiane . Kusema ukweli wapo nilioonana nao na baada ya kukuta ni kama kabiashara fulani hivi nikapoteza interest ya requests.

so hili ni swala la technologia na wengine kujaribu bahati zao/biashara/malengo yao. Mimi dawa ni kutopokea namba yoyote nisiyoijua na ikiendelea kuita naiweka kwenye reject list hatanipata tena.
 
Habari zenu wana jukwaa!?

Refer to the heading above!

Binafsi nachukizwa sana na watu hawa wanaojifanya kukosea namba halafu mwisho wa siku mtu anakutaka kimapenzi, tena si kwa staha, unakuta wengine ni by force!

Sielewi inakuaje mpaka haka katabia kanawatokea mpaka watoto wa kike! Yani binti analalamika kwenye simu mpaka huruma!

Sasa tatizo hapa ni kwamba, mtu sikujui na wewe hunijui, inakuwaje u-fall in love kiasi kwamba kama vile ulinifahamu kwa muda mrefu?

By the way, niwapongezeni ninyi ambao mmefanikisha kuwa na wapenzi kwa njia ya kukosea namba!

Hawakosei namba wala nini...Mbona hawapigi Polisi ama Faya kwa bahati mbaya?
 
Vyuoni nako naiona sana hii tabia ya kuuziana contacts!

Its real
hii tabia kwa utafit mdogo tu, hua hawakosei isipokua ni mtu tayari anakufaham kwa kina na anakua kapewa namba na mtu anaekufaham either x -girlfriend /boyfriend wako au mtu uliewahi kudate nae,,, hvo hakuna kukosea na kama mtu kakosea namba kweli hawez endelea kuwasiliana na wewe kwa kua hana concern mission kwako tena zaidi atakuomba msamaha kwa usumbufu basi yanaisha!!!!!
 
Sauti nyingine ni balaa mtu anadata na kuomba angalau amsikie mwenye sauti ya kuvutia hata kwa dakika chache tu, sasa njemba nayo kama imevutiwa na sauti ya mdada aliyekosea namba basi lolote linaweza kutokea kati ya wawili hao.

BAK nimevutiwa sana na hii story!

Kweli kuna wengine wako serious na hizi mambo!
 
Last edited by a moderator:
Mimi kwa sauti nyororo, alaaa!

Nashindwaga kabisa kuchomoka!

Nilishapenda binti simjui, mpaka tunaachana hatukua tumeonana!

Equation balanced!

Sauti nyingine ni balaa mtu anadata na kuomba angalau amsikie mwenye sauti ya kuvutia hata kwa dakika chache tu, sasa njemba nayo kama imevutiwa na sauti ya mdada aliyekosea namba basi lolote linaweza kutokea kati ya wawili hao.

Last edited by a moderator:
Kumbe nawe umo eeh!!! basi usiwashangae wenzio maana wenye bahati zao mpaka wanafunga pingu za maisha.

Mimi kwa sauti nyororo, alaaa!

Nashindwaga kabisa kuchomoka!

Nilishapenda binti simjui, mpaka tunaachana hatukua tumeonana!

Equation balanced!
 
Last edited by a moderator:
Mie bwana kuna jitu hivyo hivyo. Likawa limeniganda mpaka basi. Kama miaka 5 iliyopita nikiwa chuo. Mpaka nilikosa raha. Nikajua ni michezo ya chuo, kila nikijaribu kuchunguza wapi.

Siku ya siku akanitumia namba, nikapiga ile namba kumbe ya mchumba wake na alikuwa anamsubiri wapate dinner. Nikamwambia yote kwa uchungu.

Kumbe bwana walikuwa wafunge ndoa the following week...... bi dada akavunja uchumba.

That man swore angenitoa msukule.
Simjui but he really stressed me.
hivi mtu anawezaje kukuganda kwenye simu? mie nilipata wa hivyo nikaona analeta mazoea, akipiga napokea halafu simu inatumbukizwa kwenye pochi. hiyo ilitosha kabisa kumkomesha na sikuona usumbufu wowote.
 
We mkali!

Na akikutumia message unafanyaje?

hivi mtu anawezaje kukuganda kwenye simu? mie nilipata wa hivyo nikaona analeta mazoea, akipiga napokea halafu simu inatumbukizwa kwenye pochi. hiyo ilitosha kabisa kumkomesha na sikuona usumbufu wowote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom