Umejipangaje usipoolewa?

Wewe sasa umeandika vizuri, umekosa ndoa pambania walau career ili maisha yaende.

Ni wachache sana wanaishi bila ndoa na wakawa peaceful..
Mstari wa pili si kweli niliona zamani trend zinaonyesha Siku hizi wanaume na wanawake wanachagua not to get married, so uchague mwenyewe halafu likukoseshe amani??? Labda kwa wale waliokuwa wanaitaka sana ndoa, Napo ina umri ukifika wakati fulani Una accept fate yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…