Umejiandaaje kwa siku ya kesho bila internet

Umejiandaaje kwa siku ya kesho bila internet

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,990
Reaction score
5,775
Nje ya agizo alilotoa Waziri Mkuu la kuka ndani, umejiandaaje kuvusha siku bila internet

  • Hakuna jamii forums
  • Hakuna Youtube
  • Hakuna instagram
  • Hakuna Facebook
  • Hakuna whatsapp
  • Hakuna X
  • Hakuna Netflix
  • Hakuna Tiktok
  • Hakuna Chatgpt
 
Tutavuka tu,mbona walifungia karb wiki nzima, social media sio msosi kwamba utakufa ukizikosa
 
Hawataweza kufunga siku zote,
 
Back
Top Bottom